Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

heshima kwako mkuu.

Ila na wewe bana unaonana na mijitu ya ajabu si ungempotezea tuu
Watu wengi tuna tabia ya kuwa na hamu ya kuwafahamu baadhi ya watu maarufu kutokana na mambo waliyoyafanya.

Hata wewe ungepata hiyo fursa ungeonana naye, maana mojawapo ya swali ambalo ungejiuliza mwenyewe ni kuwa ''anafananaje huyo nahodha aliyepona na kuokoa baadhi ya watu, ilihali mamia waliangamia...?"

Hapo ndipo lazima nafsi ingekusukuma umjue japo kwa sura tena ukiwa ana kwa ana
 
Tatizo awamu hii viongozi hawathamini utu na uhai wa watu wengine.....wahusika wote bado wapo ofisini mpaka muda huu japo source ni uzembe wa mamlaka husika.....
 
Tatizo awamu hii viongozi hawathamini utu na uhai wa watu wengine.....wahusika wote bado wapo ofisini mpaka muda huu japo source ni uzembe wa mamlaka husika.....
Kwa hili hapana.

Hawa ni wauaji na wanapaswa kuwajibishwa kikamilifu.
 
Hii ajali ilikuwa mita chache tu kutoka nchi kavu nashangaa kuona idadi kubwa hivyo wa vifo, hivi ni kwamba waokoaji hawakuwepo au hawana ujuzi au raia wazamiaji/wavuvi hawakuruhusiwa kusaidia kazi!!!! Maana ingekuwa ukanda wa Pwani kwa hizo mita chache zoezi la uokoaji lingeisha ndani ya masaa machahe japo mali za abiria zingeibwa na abiria ila si hoja kama roho zao zikipona.
Watu zaidi ya 100 kufa ni msiba wa taifa, wa kuwekwa kwenye historia ya nchi kabisa
 
Ni vyema yakatolewa majina ya waliokufa kwenye hiyo ajali maana kuna wengine hawana ndugu huko na ni watafutaji maisha tu walikuwa kwenye mapambano, hivyo yakitolewa majina itakuwa rahisi kwa watanzania wengi kujua, hii yakuita watu wakatambue ndugu zao mambo ya zamani sana..

Idadi ya majeruhi wanajulikana majina yao, Majina ya waliokuwa kwenye kivuko lazima yapatikane then unatoa hao majeruhi na yatakayobaki ndio watakuwa marehemu unayaprint kila mtu anayaona.
 
We jamaa ni mpuuzi mwingine,kuna watu wanakuwa stuck tu na mavyuma,kuelekeza watu kutumia maboya,yaani mnasubiri maiti zimetoka ndio mseme mnaokoa,au msubiri mtu ajisave mwenyewe,alafu kuna budget kabisa ya UOKOAJI,watu wako trained pssss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…