Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Watu wengi tuna tabia ya kuwa na hamu ya kuwafahamu baadhi ya watu maarufu kutokana na mambo waliyoyafanya.heshima kwako mkuu.
Ila na wewe bana unaonana na mijitu ya ajabu si ungempotezea tuu
Hata wewe ungepata hiyo fursa ungeonana naye, maana mojawapo ya swali ambalo ungejiuliza mwenyewe ni kuwa ''anafananaje huyo nahodha aliyepona na kuokoa baadhi ya watu, ilihali mamia waliangamia...?"
Hapo ndipo lazima nafsi ingekusukuma umjue japo kwa sura tena ukiwa ana kwa ana