Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

wataogelea hakuna namna.

Tusubiri habari kamili
 
Mkuu tujuze taarifa zaidi kama unazo, kama kuna waliookolewa, waliokufa n.k
 
MBONA ANACHEKA KTK MAJANGA ILA NDIO KUSEMA KIFO HAKITISHI TENA WALE WANAHITAJI KUONEWA HURAMA MANA HATA AKILI ZAO HAZIPO HAPO TENA.....SO SAD
Analia wala hacheki msikilize tena
 
Nimecheka kwa sauti ya juu as if mazuri........ Maana hata mimi mwenewe nilitaka tuukusema alikopita sasa ndio tunaanza kusikia anyway.............. Mungu wasaidie

Si utani ngoja nikutajie listi

1. Kingunge alitembelewa mwishowe akavuta

2. Maria na Consolata mwishowe akavuta

3. Samuele Sita mwishowe kavuta

4. Yule aliyechora nembo ya taifa mwishowe kavuta

5. Mzee Majuto naye alivuta

6. Mzee mmoja wa CCM (jina nimelisahau) naye kavuta

7. Wengine niliowasahau nao wamevuta

Yaani hawaponi kabisa!

Duh nimeaanza kumuogopa kwa kweli ata nikiumwa nikimsikia anakuja ntakimbia na dripu zangu maana maisha matamu
 
naomba tu hiyo idadi ya watu usiwe wengi kama inavyodhamiwa maana itakuwa msiba wa taifa, so sad.
 
yaani kinazama mtoni,ziwani ama baharini?kina abiria?mbona umeongea simpo simpo sana utadhani ni kijiko kinazama kwenye kikombe cha chai?
 
Gundu anayo baba na mama yako ndo maaana hadi Leo unaishi kwa shemeji yako
 
Hebu ngoja kwanza si juzi tu hapa wamefunga engine mpya za Perkin's.....?
 
mwenye update ya kinachoendelea eneo la tukio. kuna msaada wowote uliofika huko?.
 
God save. Eeh Mungu wa miungu na mbingu uwaweke katika mikono salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…