Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Watanznaia wengi wanajali starehe, burudani, kuliko KUOMBOLEZA na wengine. Nyombo vya habari media zetu zote ni mziki na vupindi visivyo na maana hasa katika wakati akama huu.
Tunasubiri kibali kutoka juu
 
Hehima kwako mkuu.

Nilikuwa naelewa ukiniona utakuja hapa safi, sana.

Sasa bila shaka unafahamu jinsi utaratibu ulivyo wa abiria kupata nafasi ya kupanda vivuko kama hivi.

Kwanza, kulikuwa na gulio hivyo watu wengi walitaka waende gulioni.

Pili, wasimamizi wakaingiwa hamasa ya kujaza abiria hivyo initial estimate ni zaidi ya abiria 300.

Tatu, wasimamizi wa kivuko ni miongoni mwa walozama na vifaa vyote muhimu vinavyohusiana na kukata tiketi na ambao mengine vimezama majini.

Hivyo "vital evidence" imepotea lakini taarifa zinakwenda Reuters na vyombo vingine vilivyopo pale vinaelewa namna ya kupata habari kwa uhakika.

Nne, kivuko ni kizima na hakikuwa na kasoro ya kukiwezesha kuzama zaidi ya kujaza abiria wengi kupita kiasi.

Kilichobakia ni kuomba wale vijana wenye simu zao ambao walikuwa ng'ambo wakirekodi tukio.

Hivyo hapo ndo tunawaachia polisi.
Sina la kuongeza umesema YOTE.
 
Tena wanautangazia Umma wa Watanzania kwamba "tunakwenda zetu kulala na tukutane kesho". Kuna familia zaidi ya 350 zitakuwa hazikupata usingizi hiyo jana
Ndugu yangu yaani maumivu niliyonayo sina mfano, alafu kuna wapuuzi humu wanatetea eti RC anasema ukweli kuwaambia watu eti GIZA, kuna jamaa yangu kapoteza ndugu, rafiki na jamaa zake wapatao 13 , Leo hii mtu anakwambia eti watanzania tumezoea maneno ya kufurahisha, hivi mtu kama huyu aliyepoteza watu hawa unamwambiaje aende kulala Kisa GIZA limeingia, yaani hata malaika ashuke huu ni upuuzi tu nashangaa watu wanao tetea kauli ya RC.
 
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi alipokuwa anatoa taarifa ya Serikali na kuwa bendera itaanza kupepea nusu mlingoti kuanzia Kesho Septemba 22-Pia, Rais ameagiza viongozi wa Taasisi na Mamlaka zinazosimamia usafiri wa majini wahojiwe, watakaobainika kuhusika kwa uzembe wachukuliwe hatua kali-Aidha, Mkuu wa Polisi Simon Sirro amesema idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali hiyo hadi sasani 136
 
..my friend, it is pre-mature kusema with confidence kuwa kivuko kimezama kwa sababu moja tu -- kuzidisha abiria na mizigo.

..unaposema wasimamizi wa kivuko wamekufa, hizo taarifa zimetoka wapi? kwa uelewa wangu kuna survivors ktk ajali hii.

..kwa msingi huo walionusurika wanatakiwa kwanza watambuliwe, wapewe ushauri nasaha, na wahojiwe kuhusu safari yao na tukio zima la ajali.

.."vital evidence" kwa upande wangu ni zaidi ya majina na idadi ya watu, na kiwango cha mizigo kwenye kivuko. "Vital evidence" nyingine ni ripoti za matengenezo na ufundi za kivuko, pamoja na mawasiliano ya waendesha kivuko siku ya tukio.
Log ya matengenezo yake.
 
sasa kama
Hivi, unafahamu kwamba kuna vyanzo vya uhakika vinasema kwamba abiria walokuwamo humo kwenye kivuko ni zaidi ya 200?

Na pia hakuna anaefahamu zaidi ikwamba inawezekena abiria wakawa zaidi ya 400 aana wengi walokuwa wakienda gulioni?

Sasa waziri wa uchukuzi anaingiaje hapo?

Cha msingi ni kwamba kivuko ni kizima na hakikuwa na kasoro yoyote ile kwani hivi karibuni kilipata injiini mbili mpya.

Suala linaanzia kwenye msimaizi wa hicho kivuko ambae anasimamia kwamba ni tiketi ngapi ziuzwe na abiria wangapi waruhusiwe kuingia kwenye kivuko.

Hivyo usimamizi kwamba kivuko kinabeba uzito upi, namba ya abiria, mizigo na korokoro zingine si jukumu la waziri.

Hilo ni jukumu la wasimamizi wa kivuko ambao ndo wanapaswa kuwajibishwa.
sasa kama serikali ni makini kama wanavyojitapa kupata idadi ya abiria inaweza kuchukua muda gani. Sema ni visasi vt=ya chama tawala kwa ambao hawakuwapigia kura , maana ndo yamekuwa maneno yao na leo yanatokea
 
mbona dakika hii mkuu wa nchi yupo live anaongelea hiyo habari??!
au ulitaka 24 hours waoneshe tukio moja tu
 
Ifike mahalaa watu waheshimu uhai wa watu wengine, mimi ningekuwa na mamlaka ningeamua hivi;
Kwakuwa watu wengi wamepoteza maisha, kujiudhuru ama kuachishwa kazi kwa viongozi sio suruhisho tosha, mm ningeongezea hivi: Viongozi ambao ningeamuru wanyongwe hadi kufa;
1. Uongozi wa meli hiyo, nyonga hadi kufa
2. wahudumu waliohudumu siku ya ajari, nyonga hadi kufa
3. Kiongozi aliyesitisha waokoaji na kuwaruhusu wakalae hadi siku inayofuata angefungwa jela miezi sita. Huwezi ukapata usingizi wakati roho za watu zipo ziwani, uchungu wa hiyo ajari nadhani wanaujua zaidi ndugu wa wahanga na wahanga manusura, sijui kama wamepata usingizi. Najua kungekuwa na watu wenye moyo wa huruma wangekesha kuhangaika kutafuta ndg zao majini hadi kuna kucha kuliko hivyo walivyotaarifiwa wapumzike.
4. Mawaziri na watendaji wote hadi ngazi ya chini wangeadhibiwa hata kwa kukaa masaa 48 mahabusu, wao wameshindwa kusimamia uendeshaji bora wa kivuko hadi kufikia kuzidisha mizigo na kinaruhusiwa kuendelea na safari.

Ningenyonga wengi, moyo wangu ungefurahi hata km namimi ningehukumiwa hivo. Lakini huwezi cheza na shida za watu kiasi hicho, ndio kuna shida ya usafiri lakini mamlaka husika inatakiwa kuwa kifua mbele kudhibiti hali hizi ili kuepusha majanga. Mkiwaonea huruma watu na mkawaruhusu kuenda hivo hivo haya ndio matokeo yake sasa. Nasema ningenyonga watu!!!
 
Watakaotumia janga hili kisiasa ni wale ambao wataenda kwenye msiba huu wa kitaifa na miguo ya kijani!
 
Siyo hao tu Mkuu, hata Rais mwenyewe anayakiwa a resign amwachie makamu wake amalizie miezi hii 26 iliyobaki!
 
Eti kubali kutokas juu?
Kwani tuna vyombo vya habari vinavyojitegemea ama VINAVYOTEGEMEA?
Unaweza kuomboleza unaambiwa inatumia maafa kisiasa,nani anakuambia uendelee kutamgaza. Hamna shida update tutapata tu CNN, BBC, Sky news nk
 
Chombo kina uwezo wa kubeba watu 100 sawa sawa na tani 25,sasa hao watu 400 ilikuaje watu wazidishwe
Labda walijikamuwa matumbo kwanza na walipanda uchi hawakuwa hata na nguo zikazidisha uzito.

Mimi siwezi kuamini kama walikaa upande mmoja. Unless kulikuwa na tukio wanatizama ama hao abiria walikuwa Wahindi ndio waliokuwa hawawezi kusubiri.Kukimbilia upande mmoja wakati wa kushuka kama ingekuwa ndio tabia yao, vyombo kila siku vingekuwa vinazama. Halafu hicho chombo hakina weight stabilizer?

Tusubiri uchunguzi ukamilike lakini la muhimu zaidi ni kuwa hakuna emergency plans in place
 
Back
Top Bottom