Jaribu kufafanua.Kama hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kufafanua.Kama hivi.
Tbc inampinga nani mkuu?Zitakuwa media za wapinzani, zinafurahia, au?
Sisi bora kumekucha ni kweli. Lakini ni lini Tanznaia tutakapostaarabika?Mtu anasemwa live na mkuu wake lakini kagoma kujiuzulu; sasa itakuwa hili ambalo halimhusu mtu directly.
Kujiuzulu ni utamaduni wa watu waliostarabika; sisi bora kumekucha.!!
Haya ni maajabu sana, kwa hiyo mkata tiketi naye alikuwa ndani na kaefd machine yake. Huku nchi kavu hakuna data iliyobaki?? Kweli tunaishi stone ages..
Nifafanue mara ngapi?Jaribu kufafanua.
Lowassa hakujiuzulu kwa sababu ya MIKASA katika utendaji wake bali utofauti WA kiituikadi na chama chake cha zamani cha CCM.Lowasa?
Serikali haikuleta tetemeko/kuzama kivuko! Huyo eti ni kiongozi. Ilibidi kuomboleza angalau kwa leo!Ndugu wanabodi:
Hivi sisi Watanzania nano katuloga? TBC na vyombo binafsi vimeshindwa kujiunga mubashara kwenye shughuli ya uopoaji maiti lakini hats kupiga nyimbo za maombolezo imeshindikana kweli?
Nimesema shughuli ya uopoaji kwa sababu serikali ingekuwa serious na maisha ya Watanzania wenzetu ingepeleka jenereta jana ili shughuli ya uokoaji iendelee Jana usiku.
Watanzania zaidi ya 126 ni msiba mkubwa wa taifa lakini radio na luninga ya taifa wameshindwa kujiunga mubashara hatua kwa hatua badala yake wanaendelea na mambo yao yasio na maslahi kwa Taifa.
Naamin kwa Wazungu habari ingekuwa ndio hiyo kuwa mubashara muda wote kwa kila kituo cha luninga na redio.Na wasingekubali kusitisha shughuli ya uokoaji eti kisa giza
Tumeshindwa kuthamini uhai wa wenzetu, kweli ngozi nyeusi ni wabinafsi haijapata kutokea
Tuko busy watu WAKILEWA pombe na STAREHEKA vibaya,Sijui ni nini Tatizo la Watanzania?Tupo bize kununua ndege.
Sitaki kusikiliza, naweka muziki au nazima. Akanunue wapinzaniaYuko live.
Na wabunge na madiwaniTupo bize kununua ndege.