Tunasubiri kibali kutoka juuWatanznaia wengi wanajali starehe, burudani, kuliko KUOMBOLEZA na wengine. Nyombo vya habari media zetu zote ni mziki na vupindi visivyo na maana hasa katika wakati akama huu.
Sina la kuongeza umesema YOTE.Hehima kwako mkuu.
Nilikuwa naelewa ukiniona utakuja hapa safi, sana.
Sasa bila shaka unafahamu jinsi utaratibu ulivyo wa abiria kupata nafasi ya kupanda vivuko kama hivi.
Kwanza, kulikuwa na gulio hivyo watu wengi walitaka waende gulioni.
Pili, wasimamizi wakaingiwa hamasa ya kujaza abiria hivyo initial estimate ni zaidi ya abiria 300.
Tatu, wasimamizi wa kivuko ni miongoni mwa walozama na vifaa vyote muhimu vinavyohusiana na kukata tiketi na ambao mengine vimezama majini.
Hivyo "vital evidence" imepotea lakini taarifa zinakwenda Reuters na vyombo vingine vilivyopo pale vinaelewa namna ya kupata habari kwa uhakika.
Nne, kivuko ni kizima na hakikuwa na kasoro ya kukiwezesha kuzama zaidi ya kujaza abiria wengi kupita kiasi.
Kilichobakia ni kuomba wale vijana wenye simu zao ambao walikuwa ng'ambo wakirekodi tukio.
Hivyo hapo ndo tunawaachia polisi.
Am fighting for Dr Shika's justice [emoji1013]
Ndugu yangu yaani maumivu niliyonayo sina mfano, alafu kuna wapuuzi humu wanatetea eti RC anasema ukweli kuwaambia watu eti GIZA, kuna jamaa yangu kapoteza ndugu, rafiki na jamaa zake wapatao 13 , Leo hii mtu anakwambia eti watanzania tumezoea maneno ya kufurahisha, hivi mtu kama huyu aliyepoteza watu hawa unamwambiaje aende kulala Kisa GIZA limeingia, yaani hata malaika ashuke huu ni upuuzi tu nashangaa watu wanao tetea kauli ya RC.Tena wanautangazia Umma wa Watanzania kwamba "tunakwenda zetu kulala na tukutane kesho". Kuna familia zaidi ya 350 zitakuwa hazikupata usingizi hiyo jana
Log ya matengenezo yake...my friend, it is pre-mature kusema with confidence kuwa kivuko kimezama kwa sababu moja tu -- kuzidisha abiria na mizigo.
..unaposema wasimamizi wa kivuko wamekufa, hizo taarifa zimetoka wapi? kwa uelewa wangu kuna survivors ktk ajali hii.
..kwa msingi huo walionusurika wanatakiwa kwanza watambuliwe, wapewe ushauri nasaha, na wahojiwe kuhusu safari yao na tukio zima la ajali.
.."vital evidence" kwa upande wangu ni zaidi ya majina na idadi ya watu, na kiwango cha mizigo kwenye kivuko. "Vital evidence" nyingine ni ripoti za matengenezo na ufundi za kivuko, pamoja na mawasiliano ya waendesha kivuko siku ya tukio.
sasa kama serikali ni makini kama wanavyojitapa kupata idadi ya abiria inaweza kuchukua muda gani. Sema ni visasi vt=ya chama tawala kwa ambao hawakuwapigia kura , maana ndo yamekuwa maneno yao na leo yanatokeaHivi, unafahamu kwamba kuna vyanzo vya uhakika vinasema kwamba abiria walokuwamo humo kwenye kivuko ni zaidi ya 200?
Na pia hakuna anaefahamu zaidi ikwamba inawezekena abiria wakawa zaidi ya 400 aana wengi walokuwa wakienda gulioni?
Sasa waziri wa uchukuzi anaingiaje hapo?
Cha msingi ni kwamba kivuko ni kizima na hakikuwa na kasoro yoyote ile kwani hivi karibuni kilipata injiini mbili mpya.
Suala linaanzia kwenye msimaizi wa hicho kivuko ambae anasimamia kwamba ni tiketi ngapi ziuzwe na abiria wangapi waruhusiwe kuingia kwenye kivuko.
Hivyo usimamizi kwamba kivuko kinabeba uzito upi, namba ya abiria, mizigo na korokoro zingine si jukumu la waziri.
Hilo ni jukumu la wasimamizi wa kivuko ambao ndo wanapaswa kuwajibishwa.
Kuna mtu kakushikia bunduki kichwani usikilize kwa lazima? Kapige ulabu mkuu.Sitaki kusikiliza, naweka muziki au nazima. Akanunue wapinzania
Eti kubali kutokas juu?Tunasubiri kibali kutoka juu
Kwani umelazimishwa?Sitaki kusikiliza, naweka muziki au nazima. Akanunue wapinzania
Si uache kwan lazimaSitaki kusikiliza, naweka muziki au nazima. Akanunue wapinzania
Hoyeeeee!CCM oyeeee
Unaweza kuomboleza unaambiwa inatumia maafa kisiasa,nani anakuambia uendelee kutamgaza. Hamna shida update tutapata tu CNN, BBC, Sky news nkEti kubali kutokas juu?
Kwani tuna vyombo vya habari vinavyojitegemea ama VINAVYOTEGEMEA?
Poa mkuuMuwe mnakubali ya wenzenu hata mara moja moja soldier genius
Labda walijikamuwa matumbo kwanza na walipanda uchi hawakuwa hata na nguo zikazidisha uzito.Chombo kina uwezo wa kubeba watu 100 sawa sawa na tani 25,sasa hao watu 400 ilikuaje watu wazidishwe