Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Sasa ukioneshwa live kipi kinaongezeka kwako? Watanzania mbona mna viherehere hivyo...kama umeguswa sana si uende eneo la tukio ukasaidie uokoaji?
Watu 126 wasimamishe shughuli za watu wengine 50m?
Ebu kuwa serious mkuu...
 
Sumatra kazi ya kulinda maisha ya Watanzania wasio na hatia imewashinda huo ndio ukweli hakuna sababu ya kumung'unya maneno
Kila siku mambo yanajirudia yale yale kwa sababu ya uzembe wa watu fulani
Mnashindwa kukakagua vyombo vya usafiri mnaacha watu wanafanya mnavyo taka na nyinyi hamjali lolote inauma sana mnatakiwa mjiuzuru wote
Sawa ajali ni kitu cha kawaida laki pia lazima tuangalie imetokea vip
Je Sumatra mlikagua kabla kivuko hakijaondoka ili kujilizisha kuwa mzigo uliobebwa ni sawa na uwezo wa chombo?
Je Sumatra mlikagua vifaa vya kujiokoa vipo endapo itatokea ajali yani maboya yapo yakutosha?
Hapa ktk maboya ya kijiokoa ndio unapoonekana udhaifu wa Sumatra
Nina uhakika hakuna chombo chenye maboya ya kujiokoa ktk hivi vyombo vya hapa nchini na Sumatra mnalijiua hili
 
Nilichokiona ni kwamba Mbunge wa jimbo husika alikwisha toa tahadhari mapema kwa Serikali, Kwa kilichotoea ni dhahiri Serikali ilishindwa kuwajibika. Haitumiki kisiasa ila ni hali halisi.
Mbunge alitoa maono
 

Cha ajabu sasa vitu ambavyo ni basic kabisa hatuwezi kufanya, kuwa hata na counterbook litakalo record details za abiria nalo limeshindikana kabisa..
 
Kwa Wamarekani kukitokea janga kama hili huwa muda wote vyombo vya habari vinatumia muda mwingi kutoa upadate ya tukio na sio kupiga KIOKOTE!
Sasa hapa ni Marekani...teknolojia yetu na yao ni sawa!!
 
Mheshimiwa amechelewa hata hivyo sio mbaya.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…