Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

INAUMA SANA SANA SANA ! Ilishindikana kuleta diving equipment kutoka Dar na Zanzibar ziletwe kwa ndege na zipelekwe Ukara kwa helikopta? Mawaziri na viongozi wengine akiwemo IGP wapo eneo la tukio. Hizo ndege zilizowaleta zingeshindwa kupeleka vifaa vya uokozi kwenye eneo la tukio? Na kama mchangiaji mwingine alivyosema ni kweli ilishindikana kutafuta taa ili uokoaji uendelee usiku?
 
Tunataka waziri husika hadi sasa awe amefukuzwa kazi na anaadaliwa mashitaka
 
NAKUUNGA KWA HAYO,MENGINE LAKINI haya ya kuonyonga nyoga ni kuongeza MISIBA juu ya MISIBA.
 
Makofulii yeye keshafika?
 
Tena weka ndani wote.
Yan haiwezekani usjue kivuko kilibeba watu wangapi kwahiyo hao watu walipanda katikati ya maji.
Yan wanafanya kazi bila data. Hata ng'ombe zizin huwa mchungaji anawahasabu anapowarudisha.
Mkuu wa sumatra mwanza angekuwa tayr saiz kajiuzur yan.....
 
Wite your reply...
mpumzike kwa amani watoto wa mama Tanganyika. mmepoteza uhai wenu mkiwa ktk harakati zenu za kupiga vita umaskin na kujipatia riziki. so sad
 
Hivi Jiwe amemaliza ziara huko kanda ya ziwa?zimetokea ajali ngapi ktk misafara kabla ya Mv Nyerere?Mana hili la MV Nyerere naloooo,mmmhhh
 
Serikali haikuleta tetemeko/kuzama kivuko! Huyo eti ni kiongozi. Ilibidi kuomboleza angalau kwa leo!
Jmn hiloo walishaliona wametangaza siku 4 za maombolezo bendera nusu mrimgoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…