Ifike mahalaa watu waheshimu uhai wa watu wengine, mimi ningekuwa na mamlaka ningeamua hivi;
Kwakuwa watu wengi wamepoteza maisha, kujiudhuru ama kuachishwa kazi kwa viongozi sio suruhisho tosha, mm ningeongezea hivi: Viongozi ambao ningeamuru wanyongwe hadi kufa;
1. Uongozi wa meli hiyo, nyonga hadi kufa
2. wahudumu waliohudumu siku ya ajari, nyonga hadi kufa
3. Kiongozi aliyesitisha waokoaji na kuwaruhusu wakalae hadi siku inayofuata angefungwa jela miezi sita. Huwezi ukapata usingizi wakati roho za watu zipo ziwani, uchungu wa hiyo ajari nadhani wanaujua zaidi ndugu wa wahanga na wahanga manusura, sijui kama wamepata usingizi. Najua kungekuwa na watu wenye moyo wa huruma wangekesha kuhangaika kutafuta ndg zao majini hadi kuna kucha kuliko hivyo walivyotaarifiwa wapumzike.
4. Mawaziri na watendaji wote hadi ngazi ya chini wangeadhibiwa hata kwa kukaa masaa 48 mahabusu, wao wameshindwa kusimamia uendeshaji bora wa kivuko hadi kufikia kuzidisha mizigo na kinaruhusiwa kuendelea na safari.
Ningenyonga wengi, moyo wangu ungefurahi hata km namimi ningehukumiwa hivo. Lakini huwezi cheza na shida za watu kiasi hicho, ndio kuna shida ya usafiri lakini mamlaka husika inatakiwa kuwa kifua mbele kudhibiti hali hizi ili kuepusha majanga. Mkiwaonea huruma watu na mkawaruhusu kuenda hivo hivo haya ndio matokeo yake sasa. Nasema ningenyonga watu!!!