Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

sumatra inapaswa kuvunjwa ili kuwe na mamlaka tofauti za kudhibiti usafiri. anga wajitegemee, maji wajitegemee, reli wajitegemee na magari pia wajitegemee,sumatra wana mzigo mkubwa hawawezi kuregulate kote huko
 
Kwani Jimbo la Ukelewe lina Mbunge wa chama gani? "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO MBAYUWAYU"
 
Sasa ukioneshwa live kipi kinaongezeka kwako? Watanzania mbona mna viherehere hivyo...kama umeguswa sana si uende eneo la tukio ukasaidie uokoaji?
Watu 126 wasimamishe shughuli za watu wengine 50m?
Ebu kuwa serious mkuu...
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hopeless comments ever!!
ZIMETUMIKA 80 BILLION TSH KUNUNUA WAPINZANIA/(CHAGUZI ZA WABUNGE) NA MADIWANI BADALA YA VIVUKO SITA, JIBU HILI , TRY AS MUCH AS YOU CAN TO AVOID AD HOMINEN ARGUMENTS!
 
Hekima hutuleta pamoja hususan ktk matukio kama haya kwa kuweka itikadi zetu pembeni, HEKIMA.

Pasipo na matukio ndiyo mtengane na kutukanana sana...kwa hiyo unataka kusema unaombea nchi ikumbwe na matukio mengi zaidi ili tuletwe pamoja?
 
Hoja ya kup.umbavu kabisa.

Jambo la muhimu ilikuwa kuzuia maafa.

Mbunge wa Ukerewa amelalamika sana Bungeni. Alieleza jinsi alivyohangaika na alivyoonana na viongozi mbalimbali wa serikali kuelezea hali ya hatari iliyokuwa ikiwanyemelea watumiaji wa kivuko cha Nyerere lakini serikali haikuwahi kufanya chochote.

Leo wakati watu wamekwishakufa ndiyo wanajikusanya kwenda kisiwa cha Ukara. Unafiki mkubwa! Msaidie mtu kulinda uhai wake na siyo kubeba jeneza lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…