yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Kub ana husika nini na rescue team???Ni KUB!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kub ana husika nini na rescue team???Ni KUB!
Hana sababu ya kufanya hivyo!Siyo hao tu Mkuu, hata Rais mwenyewe anayakiwa a resign amwachie makamu wake amalizie miezi hii 26 iliyobaki!
Ndio, kama vile Mbowe alivyokurupuka leo asubuhi.Suala la Msiba unasema kukurupuka....
Kwani Jimbo la Ukelewe lina Mbunge wa chama gani? "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO MBAYUWAYU"Ndugu wanabodi:
Hivi sisi Watanzania nano katuloga? TBC na vyombo binafsi vimeshindwa kujiunga mubashara kwenye shughuli ya uopoaji maiti lakini hats kupiga nyimbo za maombolezo imeshindikana kweli?
Nimesema shughuli ya uopoaji kwa sababu serikali ingekuwa serious na maisha ya Watanzania wenzetu ingepeleka jenereta jana ili shughuli ya uokoaji iendelee Jana usiku.
Watanzania zaidi ya 126 ni msiba mkubwa wa taifa lakini radio na luninga ya taifa wameshindwa kujiunga mubashara hatua kwa hatua badala yake wanaendelea na mambo yao yasio na maslahi kwa Taifa.
Naamin kwa Wazungu habari ingekuwa ndio hiyo kuwa mubashara muda wote kwa kila kituo cha luninga na redio.Na wasingekubali kusitisha shughuli ya uokoaji eti kisa giza
Tumeshindwa kuthamini uhai wa wenzetu, kweli ngozi nyeusi ni wabinafsi haijapata kutokea
Kuna lipi la kufurahisha.Watu 145 wamekufa maji.Mabavicha yanang'aka likitajwa jina la Mbowe, halafu yanakuwa makali hayo balaa.
Sio la kuku la bataDua la kuku.
Haikubaliki kabisa.Kuwajibika kwa uzembe ni lazima siyo ombi kwa ajali ya mita 50 kabla ya kutia nanga ''Ajali inatokea saa 8 uokoaji usio kamilifu uanze rasmi saa 12 ni aibu
Angalua ww nmekuelewaJamii forum humu tungeonesha mfano kwanza,tusingediscus kitu chochote Leo zaidi ya kuongelea na kuleta update ya hili tukio..
Serikali nzima iko Ukerewe kuungana na mbunge wa Chadema ambaye wapiga kura wake wamepatwa na maafa ya ajali mbaya ya kivuko!Makofulii yeye keshafika?
[emoji848][emoji848][emoji848]Sasa ukioneshwa live kipi kinaongezeka kwako? Watanzania mbona mna viherehere hivyo...kama umeguswa sana si uende eneo la tukio ukasaidie uokoaji?
Watu 126 wasimamishe shughuli za watu wengine 50m?
Ebu kuwa serious mkuu...
Nani amefurahi?Kuna lipi la kufurahisha.Watu 145 wamekufa maji.
ZIMETUMIKA 80 BILLION TSH KUNUNUA WAPINZANIA/(CHAGUZI ZA WABUNGE) NA MADIWANI BADALA YA VIVUKO SITA, JIBU HILI , TRY AS MUCH AS YOU CAN TO AVOID AD HOMINEN ARGUMENTS!Hopeless comments ever!!
Vyovyote vile.Sio la kuku la bata
Hekima hutuleta pamoja hususan ktk matukio kama haya kwa kuweka itikadi zetu pembeni, HEKIMA.
Lumumba pango la mapungaNa angeenda ataambiwa anatumia maafa kisiasa
Hivi mpaka leo Malisa GJ hajanaswa na wasiojulikana?!