Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

• Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 3 za bendera ya Taifa kupepea nusu mlingoti kuanzia Jumamosi tarehe 22 Septemba, 2018.

• Halikadhalika, Mhe. Rais ametangaza siku 4 za maombolezo kuanzia leo.


•••Tunawapa pole Watanzania wote hasa ndugu, jamaa na watu wote wa karibu na familia za wote waliopoteza maisha katika ajali hii; Mungu awajaalie nafuu ya haraka na kupona majeruhi wote na kutupa mioyo ya subira Watanzania wote katika kipindi hiki kigumu.
 
Yaani mkuu unataka " watu wenye Sifa ya U-KICHAA " wawaze kama wewe mwenye akili " timamu".. au haukumsikia Jiwe " Aliposema kwamba anawataka Watendaji " Vichaa kama yeye "??
 
hapo nimeingizi itakadi ya chama gani! au akili yako ndio inawaza vyama tu!
 
Kwani wewe umesema tusichange nini, aliemtukana mwenzie na kumwita fisi mbona hujamuuliza hilo swali, acheni mambo ya hovyo katika hiki kipindi cha majonzi ,
Majonzi unayo wewe peke yako?mtaigiza Sana kulia na kujifanya mna majonzi lakini michango hatutoi,tutatoa directly kwa wahanga.
 
Sasa ukioneshwa live kipi kinaongezeka kwako? Watanzania mbona mna viherehere hivyo...kama umeguswa sana si uende eneo la tukio ukasaidie uokoaji?
Watu 126 wasimamishe shughuli za watu wengine 50m?
Ebu kuwa serious mkuu...
Acha ujinga wako kwenye mambo serious. Astray d*g
 
ZIMETUMIKA 80 BILLION TSH KUNUNUA WAPINZANIA/(CHAGUZI ZA WABUNGE) NA MADIWANI BADALA YA VIVUKO SITA, JIBU HILI , TRY AS MUCH AS YOU CAN TO AVOID AD HOMINEN ARGUMENTS!
Ngoja tumalize msiba halafu yutashughulika na siasa baadaye. Hatimaye lazima watu fulani watawajibika na watakuwa ni hao hao wanaotuongoza; na KUB hawezi kuwa mmoja wa watakaowajibishwa.
 
Hizi siku za maombolezo ndo hatuendi kazini au tunaomboleza huku kazi zikiendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…