Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Naikumbusha Serikali muda so mrefu Daraja la wami litaleta majanga.. Naomba hii comment Yangu itunzwe kwa reference.



Pale kivuko cha kigamboni mlango/geti likifunguliwa watu wanakimbilia kivuko kuku Wa kienyeji walioachiwa bandani.



Natoa Angalizo Vivuko vya kigamboni ni Business as usual.



Daraja la wami ni hatari ila hakuna anaesema.
 
Watanzania wana hulka ya kuona matatizo yao yana mkono wa mtu mwingine. Yeye hakuona kama analo lakulaumiwa upande wake.
 
Mzee Mwinyi alijiuzulu kwasababu yeye wkati ule alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani.

Pili, kesi hiz mbili zinatofautiana wakati hili ni janga ile kesi ya Shinyanga haikuwa ni janga.
Hebu rudia kusoma ulichojibu na ulicho ulizwa , halafu rejea qoute yako ya msingi niliyo kuuliza hayo maswali

Eti Mwinyi alikuwa waziri wa mambo ya ndani kwani huyu wa uchukuzi sio waziri ?

Umesema waziri hapaswi kuchukuliwa hatua nikakuuliza swali wakati Mzee Mwinyi anajiuzulu yeye alikuwa kule kwenye mahabusu ? Kwanini isiwe RPC ama OCD ?
Eti kuna tofauti kati ya hili la kivuko kuzama na mahabusu wa Mwinyi ,tofauti ni nini ? Hakuna vifo ambavyo vimesababishwa kwa uzembe ?
Unacho ulizwa sicho unachojibu halafu unajichanganya tu .
 
Kwa nini a resign?
Nini maana ya delegation of duties?
Ukisema hivyo hata waziri hana sababu za kufanya hivyo kwa maana na yeye kuna mahali ame-delegate power, mwisho wa siku utakosa wa kumwajibisha!!
 
Kwani nini kimetokea mpaka tusitoe rambi rambi badala yake tuzipeleke moja kwa moja...

Ngoja tuone...


Cc: mahondaw
 
Acha ujinga, tangu mchukue uamuzi wa kuwa majuha na mapoyoyo basi mnazomoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…