Yani ktk majitu majinga ni pamoja na hili.Bs yule mlata sijuiLivingSTONE kaenda tayari kwani?
......na kununulia wapinzani.Mnatia mchanga kitumbua, wakati watu wa kijani washaanza kuandaa kamati ya kukusanya rambirambi hili zielekezwe kwenye chaguzi za marudio.....
HahahaKama lilivyo la mama yako mlevi wa mbege
Nawewe unazo mbili nyingine ya retiredMods huyu ana ID mbili Fagix na Kenna
Hahaaahaah nimekushika kubayaNawewe unazo mbili nyingine ya retired
Ova!!amsikilize nani huyo?!!!Sitaki kusikiliza, naweka muziki au nazima. Akanunue wapinzania
Hakka mkuu!Niliowaona wako busy kuhusu wale wanafunzi wa Arusha hapa sijawaona pia, ubaguzi in
Umeona wanakunywa mbege hao ? Anakunywa Tusker bariiidi , kwa raha zake chama dume hicho.
Hahahaaha,naona pale kigamboni utakuta store ya maboya imefungwa kwa minyororo tena mizito kqbisaMaboya ya kujiokoa yalikuwa yamefungiwa stoo kwa kufuli kubwa!
Unajishitukia mweyewe , kua umeshikwa pabaya , huna nyimbo wala jipyaHahaaahaah nimekushika kubaya
Unaongea ujinga sugu, kabla ya hiyo siku kufika kazima yako itangulie,,,,,Ipo siku yako, kwa sasa hakuna lugha unaweza elewa. Hiyo siku ikifika, utaiona posibility ya mtu kuogelea na mkono mmoja huku wa pili kashika mshumaa