Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,321
Mungu atusaidie aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ndugu yangu walahiMm naishi huku visiwani, wakuu hivi vivuko vinajaza sana watu kupita maelezo. Kwa mtazamo wangu vivuko vinazidiwa na hitaji la watu kusafiri
Hoja yako ni ya msingi na maana sana. Zile kumbe huwa ni mbwembwe tuHalafu mbona kwenye mazoezi ya kujiweka tayari tunakuwa na mbwembwe nyingi, au huwa tunajichulia?
Awamu hii ya Utawala, uhai wa watu si chochote, si lolote.Dah...ungeshauri wafanye nini chief? Ukirejea vifaa na utaalam walio nao..[emoji41]
Imagine una mtt hafu unaskia hzi habar ndugu ... InasikitishaAcha kabisaaa ivi hatuna i kitengo cha wanamaji??? Au ndo zana zote zipo Dalesalama???
Jaman mtusameheee
[emoji117]Ziwa vikitoria lina mawimbiiiiii hayooo nyie achen[emoji3]
[emoji117]Kuna mamba haooooooo wee acha[emoji3]
[emoji117]Alafu kuna mashetani hahha[emoji3][emoji3]
[emoji117]alafu ili gizaaaaaa[emoji3][emoji3]
fuko mkubwa weweInahusiana nini na siasa ,ata mkeo/mmeo akikunyima unyumba unaweza sema ni CCM imesabbisha
Kwa kusitisha uokoaji sababu ya giza namlaumu Mh.Raisi na wale waliomtangulia isipokuwa Mwinyi na Nyerere.Kila kitu Magufuli duuu nyie watu hamuwezi kujadili jambo bila kumuhusisha Magufuli? Halafu kabla hujalaumu je umetathmini ni kwa namna gani wanaweza kuingia kwenye maji usiku huu na kufanya uokoaji? Umelinganisha risk zinazoweza kujitokeza kabla ya kukaa tu na kuponda kila kitu?
Acha kabisa ...Hasira zilizopo mioyon mwa wahanga sio ndogo.Imagine una mtt hafu unaskia hzi habar ndugu ... Inasikitisha
Ngoma imezama mchanaaa yaan mchana kweupeeee... Ila mpaka wanasitisha zoezi ilo usiku huu only 44 watu...Imagine una mtt hafu unaskia hzi habar ndugu ... Inasikitisha
kweli wewe kichwa chako ni kama mkebeeKila kitu Magufuli duuu nyie watu hamuwezi kujadili jambo bila kumuhusisha Magufuli? Halafu kabla hujalaumu je umetathmini ni kwa namna gani wanaweza kuingia kwenye maji usiku huu na kufanya uokoaji? Umelinganisha risk zinazoweza kujitokeza kabla ya kukaa tu na kuponda kila kitu?
Kwenye uzembe kama huu kuna viongozi hawapaswi kusubiri kufukuzwa kazi bali wajiuzuru tu kama sehemu ya kuwajibika.