Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,877
- 4,522
Tuwe na subiraMkuu acha hizo, mbona kigangwala alitembelewa na anadunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe na subiraMkuu acha hizo, mbona kigangwala alitembelewa na anadunda
Ni sahihi. Kuna muokoaji wa kwanza kabisa kufika amenitonyaMkuu umeongea kweli tupu!
Kwa mujibu wa watu walioko kule ambao wamepata maelezo kutoka kwa manusura, inasemekana kivuko mbali ya kuwa na watu wengi, kulikuwa na mizigo mingi hasa mahindi na saruji, na magari makubwa mawili. Inasemekana wakati kinakaribia kufika ng'ambo ilibidi kukata kona ili kwenda kwenye uelekeo sahihi wa kupark. Sasa wakati wa kukata kona hapo ndo mzigo wa upande mmoja ulihamia upande wa pili hivyo balance ikakosekana kika -overturn upside down.
Haya ni maelezo ya awali lakini.
Hakuna aliyetoka!Captain na crew wake wanalakujibu juu ya hii ajari..
Zimamoto na uokoaji ndo idara mbofu kuliko majshi yote, hawana vifaa, maslahi duni na wanadharaulika hata mkuu wao hatembei na msafara gari angalau 2Awamu hii ya Utawala, uhai wa watu si chochote, si lolote.
Pesa nyingi zinapotea kwa marudio ya chaguzi fake lakini mambo kama haya hazingatiwi.
Yaani nchi kubwa kama hii inakosa tochi za kumulika.
Hata ajali ile ya juzi Rusumo hadi Helkopita ilitoka Rwanda kwenda kuokoa uteketeaji wa mali kwenye ajali ya moto.
Kitengo cha usalama hasa cha dharura na uokoaji kinatakiwa kilichokamilika sio hichi cha kusitisha kazi kisa giza.
Kwa serikali hii tutapiga kelele leo, kesho na kesho kutwa halafu jambo litasahaulika hadi itokee ajali nyingine tena maana utekelezaji wa makosa haupo kabisa
Kama namuona RC anavokujibu "tungesubiri kukuche kwanza ndo tukaokoe"Hii ajali ingetokea usiku wangefanyaje?
Angekua Lissu hii taarifa angeiita UVCCMorial rubbish!!Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Hassan Bomboko inasema Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Kheri Denis James (MCC) amesikitishwa na kuguswa na ajali mbaya ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria iliyotokea leo ambapo wapo waliojeruhiwa na wengine kufariki dunia hivyo ametoa salamu za pole kwa wote walioguswa na kuathirika na tukio hili la kuhuzunisha na kusikitisha.
Taarifa hiyo imeendelea kusema Ndugu Kheri anawaombea majeruhi kupata nafuu, ndugu na wote waliopoteza jamaa zao wawe na subira katika kipindi hiki kigumu. View attachment 872725
400 wnaingia tena na zaidi. Hiki kivuko nakifahamu nimesafiri nacho sana ukara ndo homeWatu 400 sio kweli, kivuko hakina uwezo huo, hata sehemu ya kukaa tu ni shida
Kupinduka kwa meli ni tatizo la stability tu baaasiMeli inauhusiano gani na injini na kupinduka kunauhusiano gani na meli?
Mimi sio engineer bwana mkubwa cheo changu ni kama user name yanguSawa engineer!
Tena kangeza eti "....na waokoaji nao wamechoka acha wkapumzike alfajiri tutaendelea na zoezi"Wtf kisa giza? huyu mseng.e si angekaa kimya kuliko kuongea haya mashudu aisee
That is possible. Sasa kulitokea na shifting of the cargo na kufanya centre of gravity kushift hivyo metecentric height kubalika na kupelekea negative G. Hapo mpinduko ni lazimaMkuu umeongea kweli tupu!
Kwa mujibu wa watu walioko kule ambao wamepata maelezo kutoka kwa manusura, inasemekana kivuko mbali ya kuwa na watu wengi, kulikuwa na mizigo mingi hasa mahindi na saruji, na magari makubwa mawili. Inasemekana wakati kinakaribia kufika ng'ambo ilibidi kukata kona ili kwenda kwenye uelekeo sahihi wa kupark. Sasa wakati wa kukata kona hapo ndo mzigo wa upande mmoja ulihamia upande wa pili hivyo balance ikakosekana kika -overturn upside down.
Haya ni maelezo ya awali lakini.
Miili itandelea kuokotwa kwenye fukwe za Nansio na wavuvi watavua sana watu coz hakuna vyombo vya uhakika ni mitumbwi tuNi ngumu sana kujua kivuko kimebeba wangapi, hata kwa kutumia ticket hawawezi jua kimezama na wangapi
Tutegemee kuna watanzania wengine hawataokolewa
Ingejulikana idadi kamili yeah ila haijulikani
Ni ktu gan kinachowez kudisturb stability? Sio mpngo wa mzigo?Kupinduka kwa meli ni tatizo la stability tu baaasi
Kweli nduguKWA UFUNDI WA KUOGELEA, HAMNA HATA MKARA MMOJA ATAKUFA KWA AJALI HIYO..I AM TELLING
Bro huu sio muda wa lawama tuwaombeeni wenzetu wapate usalama na mikono ya mungu ipate kuwasimamia siku katika hali waliyonayoserikali imeelekeza bajeti zake kununua wapinzani badala ya kusaidia wananchi
Tatizo si awamu hii ila ni kuchukua maamuzi ili kuwa na miundo mbinu ambayo itaruhusu kutoa msaada ktk kipindi kama hiki ili kuokoa uhai wa wenzetu walio fikwa na majanga, MV Bukoba hivi hivi!Hii Awamu ni SHIDA.