Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Hivi vivuko vinabeba sana kupita uwezo wake sio hicho tu kuna vivuko vinabeba mizigo na watu hadi vinakema.

Usimamizi na umakini unatakiwa kwenye vivuko vyote nchini, pia sijajua kama MV Nyerere haikuwa na maboya.

Nature ya ajali ni ngumu maboya kutumika, unajua ilikuwa upside down ndani ya dakika chache, so ni tofauti na ile inazama huku iko kawaida kiasi hata muda wa kitafuta maboya ungepatikana.

Pia maboya yatakuwa 100, abiria 400+
 
Nilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!
Akienda mtasema anatumia msiba kisiasa. Asipoenda nako shida. Hujasikia mkuu kasema asisikie mtu yeyote angeolea suala la msiba? Kama wana ushahidi waende mahakamani. Hii nchi hii!!!
 
Imagine dunia ya sasa with all up to date techno, sisi bado hata kuweka data za namba ya idadi ya wasafiri hatujaweza.

Halafu usafiri kama huu usiokuwa na uhakika wa usalama wa maisha ya watu.
We're talking about human lives, kitu kilichotakiwa first priority.
Lakini ona jinsi mpaka mkuu wa mkoa ana jikanyaga tu. He has no idea about anything.

Mkuu si kwlei kuwa Aipo, ipo ila AIBU kuiweka hadharani, ila mkuu wa wilaya jana aligusi kuwa ni zaiid ya 400.
 
Pasipo na matukio ndiyo mtengane na kutukanana sana...kwa hiyo unataka kusema unaombea nchi ikumbwe na matukio mengi zaidi ili tuletwe pamoja?
Hicho ndicho nilichosema ama ulichosema wewe! Fanya vile ambavyo wewe unaona inafaa.
 
Mbwiga unayajua majukumu ya KUB?
Yanafanana na waziri mkuu ambaye naye hayupo huko ukara kwani huko siyo sehemu ya utawala wao! Mbona jirani yao msukus hajafika? Au dirimulaina haina wese? Pathetic! Unauchua mkia wa mbuzi ulingane na wa mbwa? Huyo kub hatembei na king'ora cha kumtangazia kuwa anapita ili tugeuze shingo kuiangalia suti!
 
Hakika nimesikitishwa sana na ajali ya Mv Nyerere.
Masikitiko zaidi ni katika utendejai wa zoezi zima la uokoaji, unawezaje kusitisha zoezi kisa giza , as if kuna namna hao watu wanakungoja.
Let say Familia yake au yeye binafsi angelikuwamo ni mmoja wa wahusika wale aliowaacha usiku na kuwaambia atarudi asubuhi kuendelea na kuwanusuru.
John jitafakari kwenye hilo, umeteleza tena umeteleza pabaya sana.
Mkuu ajali nyingine hazipangwi na Mungu wala shetani!!![emoji24] [emoji24] [emoji24] .Tuombee roho za marehemu zilale mahala stahiki.
 
Mpaka saiz.magufuli na serikali yake wameshindwa na aibu ya ajali hii ikae juu yao milele.Hii hata magufuli sijaona kama amefanya lolote.kwa sababu jimbo ni la upinzani jiwe hawezi kufanya chochote.siku akienda ziarani utasikia anawaambia wanaukerewe kuwa kivuko kilibinuka kwa kuwa Mbunge ni wa Chadema.Aibu ya serikali,aibu magufuli kwa siasa za majitaka.
 
Serikali nzima iko Ukerewe kuungana na mbunge wa Chadema ambaye wapiga kura wake wamepatwa na maafa ya ajali mbaya ya kivuko!
Kwaiyo na mbowe aende akaopoe kwakuwa ana rescue team???


Vipi mmeshaacha biashara ya kununua watu wa kuunga mkono juhudi???
 
Serikali nzima iko Ukerewe kuungana na mbunge wa Chadema ambaye wapiga kura wake wamepatwa na maafa ya ajali mbaya ya kivuko!
Kwaiyo na mbowe aende akaopoe kwakuwa ana rescue team???


Vipi mmeshaacha biashara ya kununua watu wa kuunga mkono juhudi???
 
Back
Top Bottom