Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hivi vivuko vinabeba sana kupita uwezo wake sio hicho tu kuna vivuko vinabeba mizigo na watu hadi vinakema.
Usimamizi na umakini unatakiwa kwenye vivuko vyote nchini, pia sijajua kama MV Nyerere haikuwa na maboya.
Nature ya ajali ni ngumu maboya kutumika, unajua ilikuwa upside down ndani ya dakika chache, so ni tofauti na ile inazama huku iko kawaida kiasi hata muda wa kitafuta maboya ungepatikana.
Pia maboya yatakuwa 100, abiria 400+