Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yaani kamfananisha rais wetu na mwewe. Mchochezi sana huyu jamaaSasa hapo sijaelewa, je Mheshimiwa Rais amemshukia Mbowe kama mwewe kivipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kamfananisha rais wetu na mwewe. Mchochezi sana huyu jamaaSasa hapo sijaelewa, je Mheshimiwa Rais amemshukia Mbowe kama mwewe kivipi??
You are one of the hopeless people I have come accross with.Kama huelewi pita ,usijidhalilishe hadharani
Hiyo wa Ukerewe atapita bila kupingwa!Kuondoa chama kwenye chaguzi za kipuuzi za marudio kutamgharimu sana
Dr Slaa na Marandu waliibeba sana Chadema!Wapuuzi kama hawa ndiyo mtaji mkubwa wa CCM.
Kuna sehem nimesoma nahodha pia nae kafariki, sasa sijui alikuwepo tu kule juu ila akawa haendeshiNaona kashaanza kuvuruga ushahidi kwa kusema aliyekuwa anaendesha ni deiwaka! Halafu anatuhimiza tusubiri uchunguzi!!!
Nilimaanisha anasakamwa kwa vile amesusia chaguzi za marudio, zile za kipuuzi!Hiyo wa Ukerewe atapita bila kupingwa!
Kwani wanakubalika? Bali wanalazimisha tu kukubalika, ukimpenda mtu anayekupenda wala hutapata tabu!!!Ila magari ya washawasha wameyajaza nchi nzima mkuu, wanahofia Nini Kama wanakubalika na watanzania...
Kama ujaelewa pita hiviMB Nyerere ndo nini mkuu????
Namaanisha hata uchaguzi mdogo wa Ukerewe atasusia!Nilimaanisha anasakamwa kwa vile amesusia chaguzi za marudio, zile za kipuuzi!
Watu wanadhania kuokoa watu kwenye maji ni sawa na kwenye migodi ambapo hata wiki kadhaa bado unaweza kukuta watu wakiwa hai!! Na kibaya zaidi hii ilipinduka bora hata ingekuwa imezama!!Kwanza tujiulize kivuko kilipinduka saa 8 mchana,je tuseme saa 10 au 12 kuna raia yyt anaweza bado akawa hai?Kwenye ferry kuna sehem yyt mtu anaweza jificha endapo kikazama na maji yasimfikie?
Mimi mafikiri ni alikosa kauli ya busara tu juu ya usitishwaji wa zoezi lkn naamini baada hata lisaa halijakatika toka izame hakuna raia aliyekuwa hai na waliopatikana hai ni wale walikuwa wanatapatapa nje ya kivuko na sio waliofunikwa.Hapa jamaa niseme tu walikosa utashi wa kisiasa jinsi ya kuwapumbaza wananchi na kwa Mimi wakiendelea tu na zoez kujifanya wanaokoa kumbe zoez ni kuopoa.
Kuna kitu kwenye hizi updates sijakielewa. Kuna taarifa mbili kuwa, Nahodha anashikiliwa kwa kumpa deiwaka ambaye amesababisha ajali; taarifa ya pili inasema Nahodha Mkuu ni moja ya waliofariki! Hapa, sijaelewa.