Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kabisa, angalau watu 15 au 20 wangeokolewa.
Ile haikuwa kauli sahihi, serikali imeua watu ktk ajali hii.
 
hivi mbunge wa ukerewe ni wa chadema? kama ndio maana yake wengi wa wanaukerewe waliichagua chadema
naishia hapo,naona konyagi zishaanza kunitibua
 
meli ilikuwa imezama,katika harakati za kuokoa wahanga,waokoaji wakafikia maamuzi ya kuitoboa meli ili wawatoe wahanga,maana walikuwa hai ndani ya meli wakati meli iko ndani ya maji.sasa ilipotobolewa ili kuokoa watu,na maji nayo yakapata pa kuingilia ndani ya meli Na meli ikazama zaidi Na kusababisha wote walionaswa kufa.
Nimeelewa kabisa sina swali,asante sana mkuu barikiwa sana
 
Chombo kimepinduka na hakijazama chote. Huenda kuna sehemu maji hayajafika kuleta madhara ya kifo. Baadhi ya watu wanaweza kuwa maeneo hayo.

Ingawa kadiri ya muda kwenda kiwango cha Oksijen kinapungua
Imezama sehem yote ya watu kuweza kukaa limebak eneo la chin ambapo Huko hakuna nafasi
 
Injinia mkuu wa mv nyerere bwana Augustino ameokolewa leo akiwa bado hai baada ya kujifungia katika chumba maalumu kilichomo katika kivuko hicho, mbali na kuwa hai amekutwa amejipaka oil mwili mzima...chanzo Milard Ayo, intagram pamoja na video ya mhanga huyo akishushwa hospital kwa matibabu zaidi....kwa nini alijipaka oili hata mimi sijuw.

🤔🤔🤔
 
Baada ya mbunge wa Ukerewe kuongea kuwa kivuko kilifanyiwa marekebisho baada ya yeye kuwasilisha hoja bungeni, Ufipa imewauma sana kwa huu USALITI wa mbunge wao.
Naona sasa watahamishia majeshi kwenye hoja hii ya jamaa kupona na serikali kusitisha zoezi la uokoaji.
Unaweza kuwa mkereketwa wa chama cha siasa lakini usiwe na mawazo mgando kuliko mbwa koko! Chadema na CCM zinaingiaje hapa! Ingekua kuna ndugu zako humo ugeongea upuudhi huu wa vyama???
 
Hivi hizi ajali za meli Tanzania huwa ni kafara au vipi? Yaani toka 8mchana mpaka Giza kinaingia hakuna hata helicopter ya kurandaranda

imagine that! Na wakati wa ziara yake huko majuzi tuu kulikuwa na helicopter mbili zinalinda usalama!
 
Karudi kinyume nyume km yule wa kukamata kijiji kizima, Google ikishanasa hakuna jinsi ya kufuta
 
Duu nchi ya maajabu! Kivuko kimoja kila siku tunarudia chaguzi hatari
Hii pia ni sababu ya kivuko kuzama, abiria kujaa kupitiliza ni kiashiria cha miundombinu kutokua toshelevu. Kwa maslahi ya abiria: Ilipaswa kuwepo vivuko zaidi ya kimoja kutokana na idadi ya abaria waliopata ajari.
 
hivi mbunge wa ukerewe ni wa chadema? kama ndio maana yake wengi wa wanaukerewe waliichagua chadema
naishia hapo,naona konyagi zishaanza kunitibua
Mkuu ukimaliza kutibuka ukumbuke kuwa mbunge huyo anatoka kisiwa cha Ukara,

Samahani, sina lengo la kukutibua zaidi
 
Asante sikuwahi jua,nahisi na wengi hawajui kama mm kuwa ilizamishwa makusudi,Nilijua ni ajali ya kawaida .

Tupia Uzi wake mkuu kama wajua kwa undani.
Asante

Meli haikuzamishwa makusudi bali ilizama ikageuka juu chini chini juu. Hii ni kawaida ya chombo cha majini kugeuka hivyo. kutokana na kugeuka hivyo ilikuwa imefubata hewa kwa ndani. na watu walikuwa wakigonga kwa juu wakitaka kutolewa. Yule mzungu alitaka ivutwe hadi maji mafupi ili wakiitoboa izame na kugota ila watu wakatumia haraka wakijua kuwa haitozama zaidi ya pale. Walijua kuwa hapo imegota tayari
 
Hii pia ni sababu ya kivuko kuzama, abiria kujaa kupitiliza ni kiashiria cha miundombinu kutokua toshelevu. Kwa maslahi ya abiria: Ilipaswa kuwepo vivuko zaidi ya kimoja kutokana na idadi ya abaria waliopata ajari.
True heri tungesitiza kurudia uchaguzi za kuifurahisha ccm za majimbo matano tu tupate kivuko
 
Habari zinazoripotiwa kutoka eneo la tukio zinasema mtu mmoja ameokolewa akiwa hai asubuhi hii

Mtu huyo ambaye ni engineer wa ferry hiyo amekutwa akiwa hai

Chanzo: ITV

Kumbe serikali imefanya makosa sana kuzuia uokozi usiku ule,wangeokolewa wengi wakiwa hai

Bora angefa maana hasira za huyu mh.wetu akipona atatamani afe
 
SUMATRA NA TEMESA hivi mnakagua kweli hivi vyombo na kuhakikisha zina life jackets za kutosha, life rings, sart, eperb, hand flares, masterlist onboard, manifest before boarding, Captains na Engineers reports, Certificates za crew wote nk..
Maana kwenye picha zinazozagaa hakuna hata moja nimeona kuna life jackets inazagaa eneo la karibu na tukio wakati imezama na masaa kadhaa toka imezama.. Hivu vitu ni basic inatakiwa tufanye tulinde usalama wa watu wetu na tuwe more professional dunia isije ikawa inatu dharau kila siku.
Merchant shipping act na ferries act imeziondoa meli za jeshi na meli za serikali hazitumii hizi sheria. So afisa wa sumatra ambayo kwasasa inaitwa tasac upande wa majini hawezi kwenda kukagua meli za serikali pamoja na vivuko
 
Back
Top Bottom