financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
so so sad jamani, R.I.P wapendwa wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kitabu hata kikipatikana kitakuwa na idadi ndogo ya wasafiri kwa sababu walikuwa wanapiga helaMpaka sasa kitabu chenye orodha au kumbukumbu ya abiria waliopanda kivuko cha MV Nyerere kilichopata ajari hakionekani kilipo au kwa lugha nyepesi ni kwamba kimepotea, na hii inafanya kutokuwepo na idadi kamili ya abiria waliopanda ndani ya kivuko hicho.
Ombi; kwa yeyote atakaye kiona popote pale kilipo anaweza kukiwasilisha sehemu husika.
Mimi toka nimezaliwa mpaka sasa bima/fidia pekee niliyowahi kuiskia bongo ni ya yule DIRECTOR TISS
Sidhani kama bima inalipa wafu, labda majeruhi.
hhhahahhahahahahah nimechekaKuna threads nyingine huku zinaletwa na wafiwa, wamechanganyikiwa kbs hata wanachoandika kimechanganyikiwa na hakieleweki. Poleni msiba ni wa Kitaifa.
Habari ndio hiyo.Juhudi za gani za maana zaidi ya ujinga?
Mali zote za serikali yakiwemo magari huwa hayana bima mkuu!..marehemu Mzee Jayantilal "Andy" Chande aliwahi kuandika kwamba MV Bukoba ilikuwa haina bima ya ajali.
..mtakumbuka Mzee Andy Chande alikuwa Chairman wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRC ambayo ilikuwa wamiliki wa meli ya MV Bukoba.
..MV Bukoba ingekuwa na bima, familia za wahanga wa ajali ile wangeweza kulipwa fidia kutokana na kupoteza wapendwa wao ktk ajali.
..ajali ya MV Nyerere imenikumbusha suala hili la Bima. Sijui kama serekali ilikuwa imekikatia bima kivuko cha MV Nyerere.
..Hakuna chembe ya mashaka kwamba UZEMBE ktk ngazi mbalimbali za watendaji wa serekali ndiyo chanzo cha ajali ya MV Nyerere. Wahanga wana haki ya kuidai serekali fidia kutokana na ajali hii.
..Swali ni, JE, serekali ilikikatia BIMA kivuko cha MV Nyerere?
cc chige, Nguruvi3, Pascal Mayalla, Richard