Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Najaribu ku compile list ya watu ambao itabidi directly au indirectly wamehusika na hii ajali ambao itabidi wawajibike, wawajibishwe, watumbuliwe kisha washtakiwe.

Kusema tuu waziri haitoshi hapa tutaja majina na vyeo vyao tutaendelea ku update as we go along.

Leteni majina ya wengine lakini kwa kuanza naanza na hawa:

WIZARA YA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO

1. Isack Kamwelwe : Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
2. Mhandisi Atashasta Nditiye Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10

WIZARA YA SERA,BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WALEMAVU

1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.

SUMATRA

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

OSHA

1
2

3
4
5
6
7
8
9
10
Jinga Sana Wewe, utasubiri Sana
 
Baada ya miezi miwili ndiyo ataenda kutoa salamu za rambirambi utasikia hela zote za rambirambi zitatumika kujenga kivuko kipya, fanyeni kazi hakuna chakula cha bure, mv Nyerere haikupinduliwa na Serikali ya ccm
 
Kuhusu OSHA anza na wewe mwenyewe hapo kazini kwako.
1: Je, umeshawahi kufanyiwa medical check up?
2: Je, wafanyakazi wanaoacha kzi wanafanyiwa exit medical chek up?
3: Je, kuna fire extinguisher hapo kazini kwenu?
4: Je, kuna emergency assembly point hapo kazini kwenu?
5: Je, kuna Health Committee hapo kazini kwenu?

Kuhusu barabarani.
1: Je, dereva anapozidisha abiria na wanasimama wengi, ulishawahi kushughuliki ahili tatizo?
2: Je, magari ambayo hayana mikanda (safety belt) ulishawahi kushughuliki hilo tatizo?
3: Je dereva anapozidisha mwendo, ulishawahi kukemea au abiria wenzako walikushangaa

Unaweza kuorodhesha mengi ambayo huna wa kumlaumu bali ni sisi wenyewe kabla ya kumlaumu Magufuli na watendaji wake.
 
Mkuu, mfariji pekee kwenye jambo kama hili na asiye mnafiki ni MUNGU. Tumwombe kwa nguvu zote, atoe faraja na roho za matumaini mapya kwa waliopotelewa na Ndugu zao na wale majeruhi wapone haraka. Sisi binadamu ndo muda wa kujionyesha mara nyingi kinafiki sana kana kwamba hili suala ni la mtu mmoja au wa aina fulani, ndo wao tuu waongee!!!! Wengine wataambiwa wanaongea siasa!! Duu, sijawahi ona haya mambo!! Msiba ni wa Taifa, watu wawe huru kutoa maoni yao ili tupate machungu au faraja, tuone la kufanyia kazi ili kesho yasitusibu tena!!!!
Nakumbuka hapo nyuma kidogo, jambo kubwa kama hili kunakuwa na coverage kubwa ya viongozi wa kitaifa, kivyama, kidini kupewa fursa kutoa maoni.
Mfano kuna clips nyingi zisizo rasmi kwenye you tube, mpaka wenyeviti wa vijiji wanasema,walishaomba siku nyingi na kupiga kelele kuhusu kurekebishwa usafiri wa eneo hilo.
Nimemsikiliza mzee mmoja ,nafikiri ni Bugora pale alishauri mambo 3.
1. Kivuko kile kiongeze safari , ziwe 4 badala ya 1 au 2 kwa siku ili kupunguza mlundikano.
2. Waliomba zamani tuu, waletewe kivuko kukubwa au kuongezewa kivuko kingine kukidhi ongezeko la idadi ya wasafiri na mizigo
3. Kuwe na soko jingine kule Ukara kupunguza idadi ya wanaovuka kwenda kuhemea Bugorora.
Najiuliza, kutisha mtu kama huyu ili asitoe maoni, yawafikie wadau wengine ni jambo jema? Na je, hiyo nayo ni siasa?
Ninafikiri, Nia ya Raisi wetu ni njema sana, huenda tunaangushwa sana na watendaji wake. Na huenda ndo maana, anajtahidi kwa kiasi chake,afanye ziara nyingi ajionee mwenyewe hali halisi. Pia aliyasema mengi akiwa Simiyu namna mambo mengine hapewi ukweli.
 
vichaa hawawezi kupata akili ya kuwaomba radhi wananchi wake, aina ya kichaa tulienae na mbaya sana nafuu tungempata kichaa muokota makopo sio huyu.
 
Serikali yoyote ambayo haiungwi mkono na wananchi silaha yake kubwa ni vitisho .
 
Hapa tutaokoa muda na kuepuka kuwasumbua wananchi
2018-09-23_10.19.34.jpg
 
View attachment 875048
Wakati rais amenyoa nywele zote kichwani na kunyoa/kuondoa 'O' yake kwa ajili ya kuomboleza msiba huu, eti Waziri mkuu yeye bado anaendelea kupaka Piko lile Afro lake huku wateule wengine kama wakuu wa wilaya na mikoa hakuna hata mmoja anayeiga style ya mkuu katika kuomboleza.
Wao wanachoweza kuiga ni ubabe na kamata kamata sababu vinawafanye waogopeke lakini kunyoa hawaigi kisa wataonekana vituko.
Nini sasa hiki ulichoandika Mkuu!?
 
Amani ya bwana.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh John Mongella akihojiwa na vyombo vya habari ametolea ufafanuzi ule upotoshaji mkubwa uliofanywa na wanasiasa watafuta kiki mara baada ya kutokea ajali ya kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere kwenye ziwa victoria.

RC Mongella amesema yeye ni mkuu wa mkoa tu na wala si mtalaamu wa maswala ya uokoaji, hivyo alichokifanya na anachokifanya sasa hivi ni kupokea na kufanyia kazi maoni ya watalaamu wa uokoaji majini (divers).
Kabla ya kusitisha zoezi la uokoaji siku ya kwanza aliambiwa hali ya maji ziwani imeanza kuwa mbaya na kutokana na usiku ,hivyo angetumia kofia yake ya ukuu wa mkoa kulazimisha divers waendelee na kazi angeweza kusababisha madhara zaidi na angeweza hata kuwapoteza hao wataalamu wa uokoaji.

Maelezo ya mkuu wa mkoa ni majibu safi kabisa kwa wanasiasa wakurupukaji wanaopenda kudandia mambo bila kuwa na ushahidi wa maelezo ya kutosha.
Mara baada ya kutokea ajali hiyo wanasiasa kama Zito, Mbowe na Mbatia walikuwa na uwezo wa kufika eneo la tukio na kushirikiana na wafiwa kwa haraka mno hata kwa kutumia ndege lakini hawakufanya hivyo badala yake wakaanza kuitisha waandishi wa habari wakiwa Dar kutoa matamko na kupotosha watu ,huku wakijifanya wanaijua sana hali ya ajali kuliko watu waliopo eneo la tukio!!

Hali hiyo ya kutafuta kiki za kisiasa kupitia ajali na matatizo ya watanzania ilikemewa vikali na Rais wetu mpendwa Dr Magufuli.
Screenshot_20180923-093817~2.jpg
 
Amani ya bwana.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh John Mongella akihojiwa na vyombo vya habari ametolea ufafanuzi ule upotoshaji mkubwa uliofanywa na wanasiasa watafuta kiki mara baada ya kutokea ajali ya kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere kwenye ziwa victoria.

RC Mongella amesema yeye ni mkuu wa mkoa tu na wala si mtalaamu wa maswala ya uokoaji, hivyo alichokifanya na anachokifanya sasa hivi ni kupokea na kufanyia kazi maoni ya watalaamu wa uokoaji majini (divers).
Kabla ya kusitisha zoezi la uokoaji siku ya kwanza aliambiwa hali ya maji ziwani imeanza kuwa mbaya na kutokana na usiku ,hivyo angetumia kofia yake ya ukuu wa mkoa kulazimisha divers waendelee na kazi angeweza kusababisha madhara zaidi na angeweza hata kuwapoteza hao wataalamu wa uokoaji.

Maelezo ya mkuu wa mkoa ni majibu safi kabisa kwa wanasiasa wakurupukaji wanaopenda kudandia mambo bila kuwa na ushahidi wa maelezo ya kutosha.
Mara baada ya kutokea ajali hiyo wanasiasa kama Zito, Mbowe na Mbatia walikuwa na uwezo wa kufika eneo la tukio na kushirikiana na wafiwa kwa haraka mno hata kwa kutumia ndege lakini hawakufanya hivyo badala yake wakaanza kuitisha waandishi wa habari wakiwa Dar kutoa matamko na kupotosha watu ,huku wakijifanya wanaijua sana hali ya ajali kuliko watu waliopo eneo la tukio!!

Hali hiyo ya kutafuta kiki za kisiasa kupitia ajali na matatizo ya watanzania ilikemewa vikali na Rais wetu mpendwa Dr Magufuli. View attachment 875133
Yuko sawa mno
 
Majibu hovyo kabisa. Mimi ni auditor wa usalama na mifumo ya usalama mahali pa kazi kwa ngazi ya kimataifa.

Ajali hii imetuumiza sote lakini kama Taifa, kuna uzembe wa hali ya juu.

Kwenye usalama huwa tunasema, 'All accidents are avoidable except natural disasters and terrorism.

Baada ya maombolezo, nitafafanua uzembe uliofanyika na uwezekano wa ajali zinazosubiriwa.
 
Mmh! sidhani kama kuna utamaduni wa kuwajibika hapa bongo! Mwenye kumbukumbu atukumbushe kama ilipozama Mv Victoria, yalipolipuka mabomu kule mbagara au kule Kibiti walipofanya yao kama kuna mtu aliwajibika! Yani watu wanazama ziwani watu wanaairisha uokoaji ...! Eti sababu ya giza? Pesa yote imeelekezwa kwenye 'manunuzi' ya wabunge na madiwani!
 
Hili ni wazo sahihi kabisa, kuliko kufanya uchaguzi wa kiinimacho bora hizo pesa za uchaguzi zipelekwe kwa wahanga wa ajali. Kisha huyo mgombea wa ccm apewe huo ubunge kimachomacho kama inavyofanyika sasa. Ikimbukwe wachangaji kwenye hiyo account wengi sio watu wa kawaida, bali makampuni kwa njia ya kulazimishana.
 
Mongela wasamehe bure.Hizo ni hasira na frustrations zao za kushindwa chaguzi wameaamua KU STEAM OUT FRUSTRATION zao kwenye hiyo ajali.

Wamegeuka ghafla wasomi na wataalamu wa vivuko.Nyoooo!!!! wangekuwa wasomi na wataalamu si wangetumia usomi na utaalamu wao kushinda chaguzi?. Wakishindwa chaguzi hata za udiwani tu hugeuka na kujifanya wasomi na wataalamu waliobobea wa ku analyize mambo ya kitaifa na kimataifa!!!! ha ha ha ha
 
Majibu hovyo kabisa. Mimi ni auditor wa usalama na mifumo ya usalama mahali pa kazi kwa ngazi ya kimataifa.

Ajali hii imetuumiza sote lakini kama Taifa, kuna uzembe wa hali ya juu.

Kwenye usalama huwa tunasema, 'All accidents are avoidable except natural disasters and terrorism.
Ungekuwa wewe ungewalazimisha divers
 
Utaona katika kuwajibiika na uzembe huo wa Ziwa Victtoria, utafanywa kwa double standard kwa kutazama sura za watu, kwa wale "wakolomije" original hawataguswa!
 
Back
Top Bottom