Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Machadema ni majitu mabinafsi na makatili sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh mkuu mnachoma wafuu?? Au cjaelewa asee... [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nasikitik kisema ni fedheaha na aibu kwa miili ya matehemu walichukuliwa na ndugu hata dawa ya kuchoma maiti zisiharibike zinagharamiwa na ndugu wa marwhemu.
Kusafirisha miili ni ndugu wa marehemu kama huna uwezo unatakiwa kuzika kwenye kaburi la pamoja.
Ule ubani kwa wafiwa nani anatoa zisaidie familia za "wanyonge?"
Nimeandika haya kwa sababu nimepokea sms nikiombwa mchango kusaidia dawa ya kumchoma marehemu na kupata jeneza maana majeneza ya serikali yalishaisha na sisemi kwa ubaya ila hawa marehemu yale majeneza ni aibu kama tunasafirisha nyanya kumbe mwili wa mtanzania
Wajinga sana, hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya Ziwa yoyote wameshindwa, wapo Dsm wanaitisha press tu kumtukana Rais kichaa na kila aina ya propaganda kwa kutumia vifo vya watu.
Kwa kauli hizi tunaomba msisogeze pua zenu huku 2020, tutawachanja mapanga. Kama Ukerewe hawana umuhimu kwenu kwenye dhiki kwenye faraja msisogeze mapua yenu 2020.Kwani chadema wakija au wasipokuja kwenye huo msiba ndio nini? Get a life....
Na kusafirisha inakuaje?Bora waislamu wanazika na sanda tu.!
Basi kama wametishwa kwa nini wanatoa maneno ya kejeli na uzushi? Angalia hata comments zao utaona ni watu wa aina gani? Comments za kama “ Acha wafu wazikane “ au “ wameua wao tukazike sisi “ . Kweli huu msiba ungekuwa Arusha kwa ndugu zao wangetoa maneno ya kejeli namna hii .
Pili, CDM wana viongozi wa kanda, kweli na wao wameshindwa tu kutoka Mwanza kwenda msibani au na hapa watasingiziwa hawakualikwa? Kwa taarifa yako jimbo la Ukerewe lipo chini ya CDM tangu 2010, ni miongoni mwa majimbo yasiyozidi 10 ambayo wamewaamini CDM kwa muda mrefu katika historia ya CDM , kweli ndio malipo yao haya, wanashindwa hata kupata heshima na faraja tu ?
Kwa kauli hizi tunaomba msisogeze pua zenu huku 2020, tutawachanja mapanga. Kama Ukerewe hawana umuhimu kwenu kwenye dhiki kwenye faraja msisogeze mapua yenu 2020.
Mtu akiangalia post yako anaweza kuona umeandika jambo la maana na umeguswa sana na hiyo hali. Sio mara moja au mbili viongozi wa cdm wamekuwa wakidhalilishwa kwenye haya matukio. Tumekuwa tukipiga kelele wala hatujaona ukionyesha kwamba wanachofanyiwa viongozi wa cdm sio sahihi. Sasa tuanze ili ujue huna ujualo zaidi ya mihemko, kwenye janga la tetemeko Kagera viongozi wa cdm walisimamishwa na serekali kutokupeleka misaada kwa wahanga eti kisa wanageuza jambo lile kama mtaji wa kisiasa. Ilifikia mpaka mahali Mbunge wa Bukoba mjini alipopeleka vifaa tiba hospitalini mganga mkuu alikimbia ofisini kwa kukataa kupokea huo msaada kwa maelozo tok juu. Hilo ni moja,
La pili, wakati wa msiba wa wanafunzi kule Arusha wa shule ya Lucky Vincent mchezo ulikuwa huohuo. Mkuu wa mkoa kwa ajenda ya kisiasa alikuwa anamdhalilisha mbunge wa Arusha mjini eti kisa akionekana anashirikiana kwa karibu atakubalika na wananchi. Mbunge wa jimbo hilo la Arusha alinyimwa kipaza sauti na mkuu wa mkoa tena akiwa mubashara na kumpa Mbowe kwamba ndie anayemtambua. Sasa katika mazingira hayo kwanini viongozi wa cdm waende mahali ambapo watadhalilishwa kwa sababu za kiitikadi.
Ukiangalia wanaccm wamevaa nguo zao za chama kwa maelekezo maalumu toka kwa viongozi wao kwenye huo msiba, lengo ni ili kutukatisha huu uwizi wa kura kwa kutaka kuaminisha umma kwamba wanaccm wanajali matatizo ya wananchi. Kulikuwa na haja gani wanaccm kuvaa nguo za chama chao kwenye msiba wa kitaifa? Kama ni nguo zao za kawaida kwenye mikusanyiko na sio siasa za kipuuzi, mbona hatuwaoni hao wanaccm wakivaa nguo zao kwenye masoko, nyumba za ibada, michezoni nk? Pata picha na wanacdm nao wangevaa nguo za chama chao hapo kungekuwa na msiba au kampeni mazishini? Nawapongeza viongozi wa cdm kutokuhudhuria huo msiba kwani tayari mbunge wao amewakilisha, na wao kwenda wangegeuzwa vituko kwenye huo msiba kama ilivyo kawaida. Hakuna haja ya kuonyesha umoja wa kinafiki wakati ukweli ni kinyume chake.
Ukerewe Sio Moshi
Na mkapiga rambirambi kwa kwenda mbeleMisiba ya kaskazini wanavyoivalia njuga Chadema lazima iwe ya kichama.Angalia msiba ule wa watoto ambao basi lilitumbukia mtoni Na wa ndesamburo Chadema walikuwa kutwa wako msitari wa mbele .Mbwa wa Nassari aliyepigwa risasi alizikwa kwa heshima zote za Chama wabunge wa Chadema Na viongozi wa Chama walihudhuria msiba ule.Mbwa wa Nassari mbunge wa Arumeru iliyo mikoa ya kaskazini ana heshima na hadhi kwao kuliko hao wakerewe waliokufa na kivuko sababu huyo mbwa ni wa kaskazini wakati hao wakerewe waliokufa Kwenye kivuko si wa kaskazini
Aisee me nlijua imezama kumbe ilipinduka afuu pale itakuwa kina kifupi serikali ingefanya Juhudi za dhati wangeponaa wengi
Kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha walishiriki ila msiba wa wana Ukerewe Mwanza hauwahusu zaidi ya kutoa kejeli na uzushi, hawa jamaa ni wabaguzi sana.
Kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha walishiriki ila msiba wa wana Ukerewe Mwanza hauwahusu zaidi ya kutoa kejeli na uzushi, hawa jamaa ni wabaguzi sana.
Ukweli acha usemwee...!! Siku ilee wangeendelea kuokoa hata ule usiku wangepona wengi zaidi lakini wakaona bora wakalale wengine waendelee Kufa...shame shame...."rikiboy, unachuki na serikali na sijui nini chazo cha chuki yako
Hii ndio kazi pekee inafanywa kwa welediHata yaliyoitwa majeneza hayakuwa majeneza bali MBAO ZILIZOUNGANISHWA KWA MISUMALI , hivi hii nchi inaweza jambo gani ?
Cdm sio viongozi bali ni wanachama. Na kwenye huo msiba walikuwa wamejaa wanacdm wengi tu na wala hawakuvaa nguo za chama kwani hawahitaji kujionyesha kwamba wanatenda wema. Ukiona mtu anafanya jambo la kibinadamu kisha akijitangaza au kutaka kuonekana ujue hana utu bali anasaka maslahi yake. Nawapongeza sana viongozi wa cdm kutokuonyesha umoja wa kinafiki.