Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Nasikitik kisema ni fedheaha na aibu kwa miili ya matehemu walichukuliwa na ndugu hata dawa ya kuchoma maiti zisiharibike zinagharamiwa na ndugu wa marwhemu.

Kusafirisha miili ni ndugu wa marehemu kama huna uwezo unatakiwa kuzika kwenye kaburi la pamoja.

Ule ubani kwa wafiwa nani anatoa zisaidie familia za "wanyonge?"

Nimeandika haya kwa sababu nimepokea sms nikiombwa mchango kusaidia dawa ya kumchoma marehemu na kupata jeneza maana majeneza ya serikali yalishaisha na sisemi kwa ubaya ila hawa marehemu yale majeneza ni aibu kama tunasafirisha nyanya kumbe mwili wa mtanzania
Duuh mkuu mnachoma wafuu?? Au cjaelewa asee... [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jau kweli yan
 
Wajinga sana, hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya Ziwa yoyote wameshindwa, wapo Dsm wanaitisha press tu kumtukana Rais kichaa na kila aina ya propaganda kwa kutumia vifo vya watu.

Mtu akiangalia post yako anaweza kuona umeandika jambo la maana na umeguswa sana na hiyo hali. Sio mara moja au mbili viongozi wa cdm wamekuwa wakidhalilishwa kwenye haya matukio. Tumekuwa tukipiga kelele wala hatujaona ukionyesha kwamba wanachofanyiwa viongozi wa cdm sio sahihi. Sasa tuanze ili ujue huna ujualo zaidi ya mihemko, kwenye janga la tetemeko Kagera viongozi wa cdm walisimamishwa na serekali kutokupeleka misaada kwa wahanga eti kisa wanageuza jambo lile kama mtaji wa kisiasa. Ilifikia mpaka mahali Mbunge wa Bukoba mjini alipopeleka vifaa tiba hospitalini mganga mkuu alikimbia ofisini kwa kukataa kupokea huo msaada kwa maelozo tok juu. Hilo ni moja,

La pili, wakati wa msiba wa wanafunzi kule Arusha wa shule ya Lucky Vincent mchezo ulikuwa huohuo. Mkuu wa mkoa kwa ajenda ya kisiasa alikuwa anamdhalilisha mbunge wa Arusha mjini eti kisa akionekana anashirikiana kwa karibu atakubalika na wananchi. Mbunge wa jimbo hilo la Arusha alinyimwa kipaza sauti na mkuu wa mkoa tena akiwa mubashara na kumpa Mbowe kwamba ndie anayemtambua. Sasa katika mazingira hayo kwanini viongozi wa cdm waende mahali ambapo watadhalilishwa kwa sababu za kiitikadi.

Ukiangalia wanaccm wamevaa nguo zao za chama kwa maelekezo maalumu toka kwa viongozi wao kwenye huo msiba, lengo ni ili kutukatisha huu uwizi wa kura kwa kutaka kuaminisha umma kwamba wanaccm wanajali matatizo ya wananchi. Kulikuwa na haja gani wanaccm kuvaa nguo za chama chao kwenye msiba wa kitaifa? Kama ni nguo zao za kawaida kwenye mikusanyiko na sio siasa za kipuuzi, mbona hatuwaoni hao wanaccm wakivaa nguo zao kwenye masoko, nyumba za ibada, michezoni nk? Pata picha na wanacdm nao wangevaa nguo za chama chao hapo kungekuwa na msiba au kampeni mazishini? Nawapongeza viongozi wa cdm kutokuhudhuria huo msiba kwani tayari mbunge wao amewakilisha, na wao kwenda wangegeuzwa vituko kwenye huo msiba kama ilivyo kawaida. Hakuna haja ya kuonyesha umoja wa kinafiki wakati ukweli ni kinyume chake.
 
Basi kama wametishwa kwa nini wanatoa maneno ya kejeli na uzushi? Angalia hata comments zao utaona ni watu wa aina gani? Comments za kama “ Acha wafu wazikane “ au “ wameua wao tukazike sisi “ . Kweli huu msiba ungekuwa Arusha kwa ndugu zao wangetoa maneno ya kejeli namna hii .

Pili, CDM wana viongozi wa kanda, kweli na wao wameshindwa tu kutoka Mwanza kwenda msibani au na hapa watasingiziwa hawakualikwa? Kwa taarifa yako jimbo la Ukerewe lipo chini ya CDM tangu 2010, ni miongoni mwa majimbo yasiyozidi 10 ambayo wamewaamini CDM kwa muda mrefu katika historia ya CDM , kweli ndio malipo yao haya, wanashindwa hata kupata heshima na faraja tu ?

Cdm sio viongozi bali ni wanachama. Na kwenye huo msiba walikuwa wamejaa wanacdm wengi tu na wala hawakuvaa nguo za chama kwani hawahitaji kujionyesha kwamba wanatenda wema. Ukiona mtu anafanya jambo la kibinadamu kisha akijitangaza au kutaka kuonekana ujue hana utu bali anasaka maslahi yake. Nawapongeza sana viongozi wa cdm kutokuonyesha umoja wa kinafiki.
 
Kwa kauli hizi tunaomba msisogeze pua zenu huku 2020, tutawachanja mapanga. Kama Ukerewe hawana umuhimu kwenu kwenye dhiki kwenye faraja msisogeze mapua yenu 2020.

Hakuna anayefagilia kwani hata sasa hivi tayari siasa za kipuuzi tayari zimeingia nchi na ushahidi ni hii idadi ndogo ya wapiga kura inayojitokeza. Wananchi hawahitaji siasa za kishenzi wala ushindani wa kipuuzi. Hivyo mnaweza kufanya lolote mshinde msishinde hakuna mwenye muda wa kushiriki jambo liloingiza unafiki. Hao viongozi wa cdm watasubiri hayo macamera ya kutafutia kiki yakishaondoka wao wataenda kutoa pole ya ukweli.
 
Mtu akiangalia post yako anaweza kuona umeandika jambo la maana na umeguswa sana na hiyo hali. Sio mara moja au mbili viongozi wa cdm wamekuwa wakidhalilishwa kwenye haya matukio. Tumekuwa tukipiga kelele wala hatujaona ukionyesha kwamba wanachofanyiwa viongozi wa cdm sio sahihi. Sasa tuanze ili ujue huna ujualo zaidi ya mihemko, kwenye janga la tetemeko Kagera viongozi wa cdm walisimamishwa na serekali kutokupeleka misaada kwa wahanga eti kisa wanageuza jambo lile kama mtaji wa kisiasa. Ilifikia mpaka mahali Mbunge wa Bukoba mjini alipopeleka vifaa tiba hospitalini mganga mkuu alikimbia ofisini kwa kukataa kupokea huo msaada kwa maelozo tok juu. Hilo ni moja,

La pili, wakati wa msiba wa wanafunzi kule Arusha wa shule ya Lucky Vincent mchezo ulikuwa huohuo. Mkuu wa mkoa kwa ajenda ya kisiasa alikuwa anamdhalilisha mbunge wa Arusha mjini eti kisa akionekana anashirikiana kwa karibu atakubalika na wananchi. Mbunge wa jimbo hilo la Arusha alinyimwa kipaza sauti na mkuu wa mkoa tena akiwa mubashara na kumpa Mbowe kwamba ndie anayemtambua. Sasa katika mazingira hayo kwanini viongozi wa cdm waende mahali ambapo watadhalilishwa kwa sababu za kiitikadi.

Ukiangalia wanaccm wamevaa nguo zao za chama kwa maelekezo maalumu toka kwa viongozi wao kwenye huo msiba, lengo ni ili kutukatisha huu uwizi wa kura kwa kutaka kuaminisha umma kwamba wanaccm wanajali matatizo ya wananchi. Kulikuwa na haja gani wanaccm kuvaa nguo za chama chao kwenye msiba wa kitaifa? Kama ni nguo zao za kawaida kwenye mikusanyiko na sio siasa za kipuuzi, mbona hatuwaoni hao wanaccm wakivaa nguo zao kwenye masoko, nyumba za ibada, michezoni nk? Pata picha na wanacdm nao wangevaa nguo za chama chao hapo kungekuwa na msiba au kampeni mazishini? Nawapongeza viongozi wa cdm kutokuhudhuria huo msiba kwani tayari mbunge wao amewakilisha, na wao kwenda wangegeuzwa vituko kwenye huo msiba kama ilivyo kawaida. Hakuna haja ya kuonyesha umoja wa kinafiki wakati ukweli ni kinyume chake.

Kwa hiyo CDM wameogopa kwenda kwa sababu ya kudhalilishwa? Ila kwenye misafara ya Magufuli ya mwezi mmoja uliopita walikuwa wanashiriki? Tusitetee ujinga hapa, msiba upo nyumbani kwenu unaogopa kwenda na wengine wanatoa maneno ya kejeli kabisa.
 
Misiba ya kaskazini wanavyoivalia njuga Chadema lazima iwe ya kichama.Angalia msiba ule wa watoto ambao basi lilitumbukia mtoni Na wa ndesamburo Chadema walikuwa kutwa wako msitari wa mbele .Mbwa wa Nassari aliyepigwa risasi alizikwa kwa heshima zote za Chama wabunge wa Chadema Na viongozi wa Chama walihudhuria msiba ule.Mbwa wa Nassari mbunge wa Arumeru iliyo mikoa ya kaskazini ana heshima na hadhi kwao kuliko hao wakerewe waliokufa na kivuko sababu huyo mbwa ni wa kaskazini wakati hao wakerewe waliokufa Kwenye kivuko si wa kaskazini
Na mkapiga rambirambi kwa kwenda mbele
 
Aisee me nlijua imezama kumbe ilipinduka afuu pale itakuwa kina kifupi serikali ingefanya Juhudi za dhati wangeponaa wengi

Lakini tusilaumu sana, pamoja na mapungufu yaliyokuwepo, waokoaji wamejitahidi sana, bila kushuhudia mazingira ya kazi huwezi ku feel ugumu wa kazi ukizingatia mazingira ya kazi yalivyokuwa magumu, tujifunze kushukuru hata kwa kidogo kinachowezekana na kuchukulia mapungufu kama changamoto za kufanyia kazi mbele ya safari.

Mungu awabariki waokoaji
 
Lile ni jimbo la Chadema toka 2010, na ni ngome yao kuu kanda ya Ziwa, hawa viongozi waliokufa maji leo ndio waliowezesha Chadema kuongoza jimbo kwa awamu Mbili, kifupi jimbo zima la Ukerewe ni Chadema.

Naomba Chadema kitoe sababu za msingi kwa nini hakijashiriki mazishi ya viongizi wake.....au mnawathamini nyakati za uchaguzi tu...

===========================

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Ukerewe kimepata pigo baada ya viongozi wake kufariki dunia katika ajali hiyo.
Katibu wa Chadema wilayani humo, Deodatus Makalanga alisema viongozi waliopoteza maisha ni wa ngazi ya shina, vitongoji, vijiji na kata.
“Viongozi hawa wanatoka katika kata nne za Bwisya, Nyamanga, Bukiko zinazounda tarafa ya Ukara,” alisema Makalanga.
Tarafa ya Ukara ni kati ya ngome muhimu za Chadema wilayani Ukerewe. Chama hicho kinaongoza kata tatu kati ya nne zinazounda tarafa hiyo tangu 2015.
Jimbo la Ukerewe pia linaongozwa na Chadema tangu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.

Chanzo Mwananchi.
 
Hivi rambirambi zilifikishwa zote?
Kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha walishiriki ila msiba wa wana Ukerewe Mwanza hauwahusu zaidi ya kutoa kejeli na uzushi, hawa jamaa ni wabaguzi sana.
 
Hata yaliyoitwa majeneza hayakuwa majeneza bali MBAO ZILIZOUNGANISHWA KWA MISUMALI , hivi hii nchi inaweza jambo gani ?
Hii ndio kazi pekee inafanywa kwa weledi
malisa_gj___BmfjvkjlDia___.jpg
 
HIZI NI AJALI ZA PANTOON (FERRY) AU VIVUKO TOKA 2008-2018 DUNIANI

By AFP - September 22, 2018 @ 10:05am
PARIS: Following the deaths of at least 126 people after a ferry capsized on Lake Victoria in Tanzania on Thursday, here are some of the deadliest ferry accidents worldwide over the past decade:
1. The MV Princess of the Stars sinks off the Philippines' Sibuyan island on June 21, 2008 during a typhoon: 805 people drown and only 57 passengers survive.
2. the Philippines, 120 people are listed as dead or missing when the St. Thomas Aquinas ferry, carrying 830 people, sinks on Aug 16-17, 2013 after it collides with a cargo ship near Cebu.
3. The Sewol ferry, carrying mostly high school students, capsizes on April 16, 2014 as it heads to Jeju, South Korea. Of the 304 people who die, most are students.Human error is blamed and the crew is accused of abandoning ship as hundreds of passengers are trapped. The captain is sentenced in Nov 2014 to 36 years in prison.
4. At least 235 people are killed on Jan 11, 2009 when the Teratai Prima ferry goes down during a storm between the Indonesian islands of Sulawesi and Borneo.The real toll could be higher due to the presence on board of unregistered passengers. Thirty-five survive.
5. A total of 203 are killed or go missing when an overcrowded ferry breaks in two and sinks on April 30, 2012 in the Brahmaputra river during a storm in the northeastern Assam state.
6. About 203 people die on Sept 10, 2011 when the Spicy Islander ferry sinks between two Zanzibar islands. More than 600 people are rescued.
7. On July 18, 2012 a total of 145 are killed or go missing when a ferry sinks off Zanzibar, a semi-autonomous Tanzanian island.
8. At least 200 civilians drown on Jan 14, 2014 in a ferry accident on the White Nile river as people flee heavy fighting between government forces and rebels in Malakal, a northern oil city in South Sudan.
9. When the double-decker Shariatpur 1 ferry is hit on March 13, 2012 by an oil barge in the middle of Bangladesh's Meghna river, 123 people drown. The accident happened 40 kilometres southeast of the capital, Dhaka.
10. On Feb 2, 2012 around 120 are left dead and missing when the MV Rabaul Queen ferry sinks in bad weather off the eastern coast of Papua New Guinea.
 
Cdm sio viongozi bali ni wanachama. Na kwenye huo msiba walikuwa wamejaa wanacdm wengi tu na wala hawakuvaa nguo za chama kwani hawahitaji kujionyesha kwamba wanatenda wema. Ukiona mtu anafanya jambo la kibinadamu kisha akijitangaza au kutaka kuonekana ujue hana utu bali anasaka maslahi yake. Nawapongeza sana viongozi wa cdm kutokuonyesha umoja wa kinafiki.

Wanachama au wapiga kura wa CDM ndio wana msiba huu, wana Ukerewe. Wanachohitaji ni faraja na sio mchango wa pesa wa CDM. Kulikuwa kuna uzito gani hata viongozi wa kanda tu kutoka Mwanza kwenda kushirika na kuwatia faraja wana Ukerewe? Kina Mbowe wapo Dsm wanatoa maneno ya kejeli tu na uzushi, wanapata muda wa kuita press ila sio kutoa faraja kwa wana Ukerewe? Hivi huu msiba ungetokea Kilimanjaro au Arusha ingekuwa hivi ?

Kwa watu wenye ndugu
 
Back
Top Bottom