Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Jibu hoja kwa hoja, siyo kuleta viroja! Hili ni suala la kitaifa!
Kama serikali inataka ichangiwe pesa za mnara na uzio iseme tutachanga na siyo kugeuza matumizi ya rambirambi!
matumizi ya rambirambi ni kutatua yatokanayo na msiba, na kama mnara ni moja wapo ya yatokanayo basi itatumika pia kwa hilo.
 
Hamjawaelewa,anamaanisha watajenga ukuta kuzunguka ziwa Victoria lote kuzuia ajali zisitokee tena.
Mengine ni kawaida tu, kwa mfano watu wamesikia tigo peke yao wanatoa 150m na za makampuni mengine zinakuja, udenda unawatoka! Tujifunze kuwa na aibu! Fedha za rambirambi! Yaani serikali haina fedha kutoka vyanzo vyake vingine mpaka itumie fedha za wafiwa. Aibu!
 
ukiwaza na kufikir kwa kutumia ubongo utafaham ni kiaje ccm ndio chanzo
Nakupa like zote[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kabla hujaandika ujinga wako, fikiria kuwa wewe ulipokuwa na miaka mitatu ama minne, una wadogo zako wawili hapo, baba na mama yako ndio wamebeba vimizigo wameelekea sokoni. Unasubiri giza linaingia, hujala, akili za kujitambua zaidi ya kulia huna, hujui ndugu, unawafahamu baba na mama pekee, unalia, watoto wanalia hadi sauti hazitoki tena, hakuna wa kwenda kuwatambua wazazi wako ambao huenda wameshahesabiwa kuwa ni wale ambao hawajatambulliwa, na wamezikwa tayari......
JUST IMAGINE, KISHA ANDIKA TENA ULICHOANDIKA.
hapa wala huhitaji imagination yoyote ww mwerevu, hao wote waliokutwa na majanga kama hayo jamii inayozunguka itawatambua na watasaidiwa kwa utaratibu mwingine…sio wa rambirambi! tangu nimezaliwa mpaka sasa sijawahi sikia wao shuhudia rambirambi zikamtoa mtu kimaisha zaidi ya kusaidia vitu vidogovidogo vinavyohusu maziko na msiba husika! hapa tunaongelea misiba zaidi ya mia mbili kwa mpigo…hako kaufahamu kako finyu kameji'fix' kwenye rambix2 tu na hivyo unajikuta ukitoa povu la haja! Kuna maisha zaidi ya rambix2!
 
Back
Top Bottom