Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
......
......haya bana
......haya bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamemlishaje mkuu? mbona sijakuelewa?Serikali imesema hao 265 ndio miili iliyookolewa na kuopolewa, na uokoji/uopoji unaendelea mpaka miili yote ipatikane.
Sasa huyo mbunge ana Listi nzima ya waliokuwemo kwenye hicho kivuko.
Naona Chadema mmeanza kumlisha maneno mbunge kisa kashiriki shughuli nzima ya leo.
Wakati wa mazishi leo, serikali ilisema kivuko kilipakia watu 265 bila kuweka hiyo caveat kwamba "uopoaji/uokozi" bado unaendelea. Nafikiri mvutano unaanzia hapo.Serikali imesema hao 265 ndio miili iliyookolewa na kuopolewa, na uokoji/uopoji unaendelea mpaka miili yote ipatikane.
Sasa huyo mbunge ana Listi nzima ya waliokuwemo kwenye hicho kivuko.
Naona Chadema mmeanza kumlisha maneno mbunge kisa kashiriki shughuli nzima ya leo.
umeona eeeee !!!Mchango!!!!
Sio kwa majeneza Yale.....
Kha!!!
wamemlishaje mkuu? mbona sijakuelewa?
Chadema ndio walivyo hivyo, haswa huyu Mwanahabari Huru ndio mchezo wake huu. Wameishiwa mbinu za propaganda wamebaki kuparamia kila wanaloliona bila ya kutafakari.Mkuu serikali imesema waliookolewa na kuopolewa jumla ni 265 na imesema inaendeshwa kutafuta miili mingine mpaka yote upatikane kwa maana hiyo unaweza kufika 300 na ama zaidi.
Na mbunge amesema walikuwa zaidi ya abiria miatatu, japo sina hakika na takwimu zake.
Lakini ukiangalia kauli zote mbili hazipingani.....
Ila chadema wanaripotiwa kama mbunge na serikali wanapingana...
Lakini waziri ametangaza utafutaji wa miili unaendelea pamoja na takwimu iliyotolewa leo.Wakati wa mazishi leo, serikali ilisema kivuko kilipakia watu 265 bila kuweka hiyo caveat kwamba "uopoaji/uokozi" bado unaendelea. Nafikiri mvutano unaanzia hapo.
The fact kwamba wahusika/serikali inashindwa kujua kwa uhakika chombo kilibeba watu wangapi na majina yao, inaonesha uzembe mkubwa kwenye utaratibu mzima wa usafirishaji abiria kwa vivuko. Kama mabasi tu yanalazimishwa kuwa na manifest, itakuwa chombo cha majini! MV Bukoba, Spice etc.hazikutufunza chochote cha maana.
Hana bila shaka. Na serikali pia haina!Lakini waziri ametangaza utafutaji wa miili unaendelea pamoja na takwimu iliyotolewa leo.
Sasa huyo mbunge sijui anatakwimu sahihi ili tuamini anachokisema.
kwa maoni yangu huenda mbunge yuko sahihi....Lakini waziri ametangaza utafutaji wa miili unaendelea pamoja na takwimu iliyotolewa leo.
Sasa huyo mbunge sijui anatakwimu sahihi ili tuamini anachokisema.
Una uhakika hela zinaenda Kwa wafiwa?Kutoa ni moyo sio utajiri. Kumchangia aliyefiwa sio jambo geni kwa watz.
Mh!umeona eeeee !!!
Nawaomba sana wakuu wangu kwa heshima na taadhima , Michango yenu bado ni muhimu mno , toeni kusaidia wahanga pamoja na familia za marehemu na Mungu atawalipa , natambua changamoto zilizotokea kwenye michango ya Tetemeko la Kagera lakini ni vema tukakubali kwamba YALIYOPITA SI NDWELE , tuendelee kuiamini serikali .
Natanguliza shukrani .
Kama hamjui chanzo cha kauli hizi ulizeni tuliokuwepo tuwaeleze. Kuanzisha propaganda kwa kitu usicho na uhakika nacho ni upotoshaji.Chadema ndio walivyo hivyo, haswa huyu Mwanahabari Huru ndio mchezo wake huu. Wameishiwa mbinu za propaganda wamebaki kuparamia kila wanaloliona bila ya kutafakari.