Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kwani hichi chombo kilikuwa hakina bima? Mimi nahisi ni wakati umefika kwa waliofikwa na hili janga kutafuta mwanasheria wakawashitaki operators wa hii meli kwa Negligence. Ikipidi kama court zetu na EAC court kesi itashindikana basi hata kwa International Maritime Organization. Operator, Sumatra, TPA wote washitakiwe kwa negligence walipe fidia inayostahili.

By IMO law, hivi vyombo vinatakiwa viwe insured. Na hakuna bima ya Milioni moja kwa mfiwa.
 
Serikali imesema hao 265 ndio miili iliyookolewa na kuopolewa, na uokoji/uopoji unaendelea mpaka miili yote ipatikane.

Sasa huyo mbunge ana Listi nzima ya waliokuwemo kwenye hicho kivuko.

Naona Chadema mmeanza kumlisha maneno mbunge kisa kashiriki shughuli nzima ya leo.
wamemlishaje mkuu? mbona sijakuelewa?
 
Wakati wa mazishi leo, serikali ilisema kivuko kilipakia watu 265 bila kuweka hiyo caveat kwamba "uopoaji/uokozi" bado unaendelea. Nafikiri mvutano unaanzia hapo.

The fact kwamba wahusika/serikali inashindwa kujua kwa uhakika chombo kilibeba watu wangapi na majina yao, inaonesha uzembe mkubwa kwenye utaratibu mzima wa usafirishaji abiria kwa vivuko. Kama mabasi tu yanalazimishwa kuwa na manifest, itakuwa chombo cha majini! MV Bukoba, Spice etc.hazikutufunza chochote cha maana.
 
Mkuu serikali imesema waliookolewa na kuopolewa jumla ni 265 na imesema inaendelea kutafuta miili mingine mpaka yote ipatikane kwa maana hiyo inaweza kufika 300 na ama zaidi.

Na mbunge amesema walikuwa zaidi ya abiria miatatu, japo sina hakika na takwimu zake.

Lakini ukiangalia kauli zote mbili hazipingani.....

Ila chadema wanaripotiwa kama mbunge na serikali wanapingana...
wamemlishaje mkuu? mbona sijakuelewa?
 
Mkuu serikali imesema waliookolewa na kuopolewa jumla ni 265 na imesema inaendeshwa kutafuta miili mingine mpaka yote upatikane kwa maana hiyo unaweza kufika 300 na ama zaidi.

Na mbunge amesema walikuwa zaidi ya abiria miatatu, japo sina hakika na takwimu zake.

Lakini ukiangalia kauli zote mbili hazipingani.....

Ila chadema wanaripotiwa kama mbunge na serikali wanapingana...
Chadema ndio walivyo hivyo, haswa huyu Mwanahabari Huru ndio mchezo wake huu. Wameishiwa mbinu za propaganda wamebaki kuparamia kila wanaloliona bila ya kutafakari.
 
Wakati wa mazishi leo, serikali ilisema kivuko kilipakia watu 265 bila kuweka hiyo caveat kwamba "uopoaji/uokozi" bado unaendelea. Nafikiri mvutano unaanzia hapo.

The fact kwamba wahusika/serikali inashindwa kujua kwa uhakika chombo kilibeba watu wangapi na majina yao, inaonesha uzembe mkubwa kwenye utaratibu mzima wa usafirishaji abiria kwa vivuko. Kama mabasi tu yanalazimishwa kuwa na manifest, itakuwa chombo cha majini! MV Bukoba, Spice etc.hazikutufunza chochote cha maana.
Lakini waziri ametangaza utafutaji wa miili unaendelea pamoja na takwimu iliyotolewa leo.

Sasa huyo mbunge sijui anatakwimu sahihi ili tuamini anachokisema.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Waziri wa Ujenzi amemute mpaka mwisho ndo eti anatoa hesabu ya abiria waliokuwemo ndani ya kivuko. Haihitaji hata diploma kujua hili: waziri alichofanya ni kujumlisha tu idadi ya marehemu waliopatikana na ile ya majeruhi. Full stop. Mbona hakusema idadi hiyo sike ile ile ya tukio? Kwa wale waliowahi kupanda hivi vivuko, mnajua kabisa idadi huwa haijulikani maana hata wale wakatisha ticket huwa wanapiga sana hela zile na hawawezi kukwambia wamekatisha ticket ngapi. JPM aanze na huyu mtu!
 
Lakini waziri ametangaza utafutaji wa miili unaendelea pamoja na takwimu iliyotolewa leo.

Sasa huyo mbunge sijui anatakwimu sahihi ili tuamini anachokisema.
Hana bila shaka. Na serikali pia haina!
 
Lakini waziri ametangaza utafutaji wa miili unaendelea pamoja na takwimu iliyotolewa leo.

Sasa huyo mbunge sijui anatakwimu sahihi ili tuamini anachokisema.
kwa maoni yangu huenda mbunge yuko sahihi....
 
Nawaomba sana wakuu wangu kwa heshima na taadhima , Michango yenu bado ni muhimu mno , toeni kusaidia wahanga pamoja na familia za marehemu na Mungu atawalipa , natambua changamoto zilizotokea kwenye michango ya Tetemeko la Kagera lakini ni vema tukakubali kwamba YALIYOPITA SI NDWELE , tuendelee kuiamini serikali .

Natanguliza shukrani .

Serikali ituambie fedha za rambirambi za Kagera zilitumikaje.

Sishauri watu wachangie kwenye maafa haya.

Janja janja imekuwa nyingi awamu hii
 
Chadema ndio walivyo hivyo, haswa huyu Mwanahabari Huru ndio mchezo wake huu. Wameishiwa mbinu za propaganda wamebaki kuparamia kila wanaloliona bila ya kutafakari.
Kama hamjui chanzo cha kauli hizi ulizeni tuliokuwepo tuwaeleze. Kuanzisha propaganda kwa kitu usicho na uhakika nacho ni upotoshaji.
Chanzo cha yote ni pale Waziri Kamwelwe aliposema idadi ya abiria waliyokuwa nayo ni 265 na ukichukua (tena akatumia neno hesabu ya kawaida) waliookolewa 41 na maiti zilizoopolewa 224 jumla ina tally 265. Hapa ndipo ubishani ulipoanzia maana waziri alitaka kuaminisha watu kwamba hakuna watu zaidi ndani ya meli . Lakini Mbunge na wenyeji wakakataa hili maana hesabu hiyo ilipungua mtu mmoja. Wakati wa mazishi ya watu 9 yakiendelea huku nyuma ulupatikana mwili mwingine wa mwanamke ukapelekwa kituo cha Afya lakini kwa makusudi haukujumuishwa kwenye hiyo hesabu. Baada ya kueleweshwa hivyo waziri akarudi kutoa tangazo jipya na mlioangalia TBC ni mashahidi maana mtangazaji aliyekuwa Ukara awali alisema miili imekwisha lakini baada ya hapa WAZIRI akalazimika kurudi kutoa tangazo upya kwamba shughuli haijaisha wataendelea kutafuta miili mingine kama imo.
 
Back
Top Bottom