Nahisi kuna watu wamepiga hela katika hili suala LA ajari ya kivuko cha MV nyerere (UKARA) hawa si wengine ila ni waokozi wa majeruhi na miili ya watu waliokufa kutokana na ajari ya kivuko hichi
Kwa akili zangu najua wazi kuwa katika hao abiria waliokuwa wakisafiri katika kivuko hiko lazima kila MTU au asilimia kubwa ya watu walisafiri na mahela/pesa kama MTU hakusafiri nazo basi ni wachache sana maana ni kawaida ya watanzania wengi kusafiri na hela mfukoni ama walet zao sasa swali ivi wenZangu mmesikia kuwa kuna maiti imepatikana na hela kiasi kadhaa? Au ndo kusema maiti zote zilikuwa hazina nguo? Au tuseme ndo hawajafanya searchable kwa maiti
Mmmmmmmh kuna kaharufu ka wizi halali au ndo malipo ya waokozi
Jioni njema !