Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Nahisi kuna watu wamepiga hela katika hili suala LA ajari ya kivuko cha MV nyerere (UKARA) hawa si wengine ila ni waokozi wa majeruhi na miili ya watu waliokufa kutokana na ajari ya kivuko hichi

Kwa akili zangu najua wazi kuwa katika hao abiria waliokuwa wakisafiri katika kivuko hiko lazima kila MTU au asilimia kubwa ya watu walisafiri na mahela/pesa kama MTU hakusafiri nazo basi ni wachache sana maana ni kawaida ya watanzania wengi kusafiri na hela mfukoni ama walet zao sasa swali ivi wenZangu mmesikia kuwa kuna maiti imepatikana na hela kiasi kadhaa? Au ndo kusema maiti zote zilikuwa hazina nguo? Au tuseme ndo hawajafanya searchable kwa maiti

Mmmmmmmh kuna kaharufu ka wizi halali au ndo malipo ya waokozi

Jioni njema !
 
Halafu walikuwa safarini kwenda gulioni.Kulikuwa na fedha nyingi zilizohamia kwa waliohai maana marehemu wote walikuwa na mavazi yao.
 
ivi ka zilikuwazimefichwa pembeni ya mbuyeee wamethubutu zigusaaa
 
Mimi swali langu kwako ni moja kwani kuna shida gani akienda na nguo za chama chake
Kwani wakienda na nguo za kawaida inawapunguzia nini? Matukio yakitokea wanakimbilia nyumbani kubsdili nguo na kuvaa ya kijani ili tuone hicho chama kinawapenda watu, mbona hamkwenda na uniform kufunga injini mpya za kivuko kuokoa maisha ya mamia ya Watanzania wenzetu waliozama majini?
 
Ni kauli ambayo ilitufanya watanzania wengi tushangae sana." Ni kauli ya hovyo mnoo"
Niliwaza hivi inawezekana umepoteza ndugu katika msitu mnene na kurudi nyumbani ukalala ati kisa msituni kuna giza na nyoka na wanyama wengine wakali...na unarudi nyumbani unalala usingizi mpka asubuhi..." Hivi uliwahi ona mtu aliyepotelewa na mwanae hajui alipo ila halali mpka apatikane lakini sisi tulijua ndegu zetu wako majini tunarudi vitandani tunalala kisa tu sababu za kitaalamu ambazo hazikuelezwa."

Ziwa victoria hata baharini kote ikitokea ajari usiku wavuvi huwa hawalali na wanahakikisha wanawaokoa wenzao usiku huo huo.. Serikali pia huwa inaendesha doria usiku ziwani na bahari mbona sababu za kitaalamu hazisemi wasiendeshe doria usiku!??? Kimwambia mtu aliyepotelewa na ndugu majini ati hatuendelei na uokoaji bila kumpa sababu ni maumivu makali sana kwa ndugu huyo."

Kwa hili serikali mlikosea sana mno" na iliwapasa muombe radhi"

Mnatufanya tuwaze mengi maana hata hamkuwa na maandalizi ya kuendelea na uokoaji usiku huo." Mlilux mpaka tulipo anza kuhoji mkasema zilikuwa ni sababu za kitaalamu bila kusema sababu hizo.

Kwa hili mlitukwaza na kusononesha" mjitafakari! Kwani siku hiyo si kwamba ziwa lilikuwa limechafuka ati msimamishe uokoaji.

Mod. Acha uzi huu ujitegemee hili swala limetuumiza wengi.
 
Wewe ni mwehu,hilo limepita ,tumeunda tume,unaturudisha nyuma,hakika ukizeeka lazima uwe mchawi,si ghubu hili ,
 
Nashauri waeleze hizo sababu zilizowafanya wasiendelee usiku huo...kama hawana wawajibishwe wote kwa uzembe huu wakiongozwa na mkuu wa mkoa
Sababu ni simple tu kwamba hakuna binadamu wa kukaa chini ya maji zaid hata ya dk 10 bila ya vifaa maalumu. Kivuko kilipinduka saa nane, unategemea tuseme had saa 12 jioni kuna binadamu wa kuwa HAI chini ya maji zaid ya huyo anayesemekana alikua kwenye chumba cha injini?
 
Back
Top Bottom