Ukarabati 7.5B, Magogoni twende Kwa Facts! Mnaobisha Njooni Mnijibu

Tutaumiza vichwa bure,kule PPRA wazee wa kazi wamemuweka mpiga dili mwenzao kuwa Mkurugenzi Mkuu!
 
Tupe mchanganuo kama huu kwenye kile kivuko cha mv.bagamoyo alichokinunua MEKO,ambacho thamani yake ilitaka kulingana na fast ferry ya azamu(ambayo ni ya kisasa kabisa).Ambacho gharama ya mafuta tu kutoka dar hadi bagamoyo ni kubwa kuliko jumla ya nauli za abiria wote kikiwa kimejaa!!!
 
Inflation ikiwa wastani 7% kivuko kipya kilitakiwa kuwa 12B
 
Akikupa nishtue,nipo bafuni na yoa
 
Hiyo maintenance ilitakiwa kufanywa na wakandarasi wa TEMESA au kampuni ya wazawa ya songoro marine, hapa lazima kuna ubutuaji.........unajipimia kadri kamba yako inavyokuruhusu, si ndiyo? acha wakenya wakaweke humo injini za yutong wabaki na injini orijino.​
 
Ubutuaji ni kama ule tu wa
awamu ya tano,kila tenda ya meli/kivuko alikuwa anapewa SONGORO MARINE.Hao TEMESA magari tu yamewashinda wataweza kivuko?!!
 
Ubutuaji ni kama ule tu wa
awamu ya tano,kila tenda ya meli/kivuko alikuwa anapewa SONGORO MARINE.Hao TEMESA magari tu yamewashinda wataweza kivuko?!!
Kwani kila tender lazima iwe awarded, hiyo inabidi irudiwe maana hizo gharama ziko exaggerated kwa kadri ya maelezo ya mleta mada, kama vipi tutumie karakana na mafundi wetu kuokoa gharama, hii pia itasaidia vijana wetu walio mafunzoni kupata ujuzi zaidi wa mambo haya......​
 
Miongoni mwa mapungufu makubwa ya Ma Sa100 ni eneo la ufuatiliaji..anaamini mno wasaidizi(mkalitazame) matokeo yake wanamuingiza chaka kishenzi.
Hata Dodoma machinga complex imejengwa kwa gharama ya bilioni 9+ wakati material yote ni ya hapa nchini hivyo costs zisingefika hata nusu yake.

Wananchi tunapigwa kwelikweli awamu hii hakuna wa kututetea.
Kodi zetu na tozo zitakoma awamu ya 6 Mungu tusaidie.
 
Huku kwenye maiamala ya simu na mabenki wanakusanya kiulaini tu, labda ndo maana hawana uchungu na hizo pesa, zinaingia kiulaini na kutoka kiulaini......
 
Engineer wa temesa alisema kuwa Engine na Gearbox ni dollar 90,000
 
Nimekuja spidi nikidhani umeweka hesabu za exchange rate ya wakati huo Ili kulinganisha na Sasa pia hakuna Cha mfumuko wa bei Wala Nini!?

Ni kweli CCM ni mafisadi ila ni vizuri ungeweka facts hapo za exchange rate iendane na heading ya Uzi wako. Alafu hizo thamani za engine n.k ni kwa bei ya Sasa au ya wakati ule? Engine zake wewe ndio umeziona au umechukua speculation za hao "wataalamu" kwenye vijiwe vya kahawa??

Ongeza nyama mkuu
 
Sasa huyo songoro ali tender 10B,na huyo mwingine 7.5B!!Huyo mleta mada inajulikana yuko upande gani,ndio maana kila kitu anachokileta hata kama kina uhalisia inaonekana ana lake jambo!!ndio maana kuna sehemu nimemuomba atuletee na mchanganuo wa kile cha mv.bagamoyo.Kote ni upigaji tu ni suala la kipokezana tu!!!
 
Speculations!! Hivi si wote mlipinga TICTS kuongezewa mkataba na serikali ikasema TPA isimamie Bado mnalalamika..... Bandari ya Bagamoyo wote tulipinga financing ila mradi Kila mtu alitaka ufanyike. Bandari imetengewa bajeti Tena inajengwa kwa pesa za ndani ila Bado mnalalama mnataka Nini? Hiyo tender angepewa mtu binafsi Bado Tena mnalalamika!!

Wote hatupendi ufisadi ila tujaribu kuwa na facts, speculations hazisaidii kitu.

NB: Najua ulicholenga ni hiyo sentence uliyomtaja JPM. Ila trust me angepewa huyo mzawa kwa bei ya 10 B Bado mngesema ni ufisadi!! Na mngesema hiyo tender ni ya waziri!!
 
1. Mchanganuo wa kwenye tender unaufahamu au una assume Wana replace engine pekee?? Yaani hakuna ukarabati wowote ule mwingine zaidi ya spare pekee??

2. Hapo unasema USD 1 Million inatosha kununua kivuko kipya!!! Yaani Kwa kuwa vifaa ni hiko kiasi basi hakuna cost zingine zozote? Kwa staili hii Kuna siku mtapiga bei ya simenti na kokote mtasema ni million 2 inatosha kujenga shule nzima!!!

3. Hoja pia ni kuhusu bei, kwa taarifa ni kwamba tender za humu ndani walitaka 10 B je kwa muono wako wangepewa usingeona ni ufisadi zaidi?

Nadhani kama hakuna mwenye documents humu then tutakua tunfanya speculation
 
Kwa wasiojua ufisadi wa Magufuli basi tunawataarifu kuwa alianza na Bagamoyo Boat/Ferry. Alipiga ufisadi wa kutisha halafu kivuko hakikuwahi kubeba abiria yeyote kwenda Bagamoyo wakati huo alikuwa waziri tu kwenye Serikali ya JK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…