Ukarabati 7.5B, Magogoni twende Kwa Facts! Mnaobisha Njooni Mnijibu

Ukarabati 7.5B, Magogoni twende Kwa Facts! Mnaobisha Njooni Mnijibu

Hao wa dubai, wanaendesha bandari hadi US,, kiufupi ni wataalamu,, lakini hili la kwamba wanapewaAn

Ile bandar wapewe tu,, hao wanaendesha bandari hadi za marekani,, ufanisi wa bandari ya dubai umewafanya wapate kandarasi za kuendesha bandari mbalimbalo duniani
Uliona wapi USA wakampa bandari mwarabu kuiendesha, acha story za Buza.
 
Ndugu wanajamii ninaomba serikali ifuatilie kwa karibu ukarabati wa kivuko cha magogoni, tuliambiwa miezi mitano sasa unakwenda mwezi wa 8 kuna shida gani? Kigamboni ina watu wengi sana na wanateseka na usafiri, asubuhi hii kivuko ni kimoja tu! Uchumi wa nchi unazidi kuadhirika kwa kiasi kikubwa!!!
 
Back
Top Bottom