Ukarabati 7.5B, Magogoni twende Kwa Facts! Mnaobisha Njooni Mnijibu

Na mkataba ulisainiwa mama akiwa ameenda Ethiopia Kama sijakosea....Kuna viongozi wa chini ndio wanaoiangusha serikali...shame
 
Suluhisho lilikuwa sio kuikarabati, bali ni kupiga mnada na kununua chombo kingine kipya; wataalamu wa mahesabu kuna kitu huwa wanakiita 'depreciation', kama ilikuwa iko ziro au kukaribia na ziro kuna uwezekano matengenezo yakawa sawa na gharama ya kununua chombo kipya, na kama ilifikia hiyo hatua, matengenezo yalikuwa sio ya lazima.​
 
Hao wa dubai, wanaendesha bandari hadi US,, kiufupi ni wataalamu,, lakini hili la kwamba wanapewaAn
Ile bandar wapewe tu,, hao wanaendesha bandari hadi za marekani,, ufanisi wa bandari ya dubai umewafanya wapate kandarasi za kuendesha bandari mbalimbalo duniani
 
Hiko kivuko kiligharimu tsh billion 8.5

Kimetengenezwa/kuundwa hapahapa Tanzania na kampuni ya kijerumani M/S Neue Ruhrorter Schiffswerfts. Lakini ata ndani ya nchi kuna taasisi zinaweza fanya hiyo kazi leo.

Kuunda kipya components za engine specification umewekewa kwenye hiyo link niliyoweka unaweza google ukaona bei ya used engine au kuomba quote ya engine mpya from caterpillar wenyewe wanaotengeneza. Kwa engine nne mpya za hilo pantone pamoja na gearbox na hayo ma-propeller sidhani kama yanazidi a million dollar ata kwa bei ya leo.

Sasa gharama kubwa nyingine kwenye direct material costs zinabakia kwenye steel frame. Hii wanatumia ile ile iliyopo vinginevyo kama wanabadili na frame hiko sasa ni kivuko kipya.

Kwa ivyo kama frame ni ile ile gharama zinazobaki baada ya manunuzi ya engine zipo kwenye admin costs ambazo ni labour hours and overhead costs. Na hizo aziwezi justify remaining tsh 5 billion baada ya kununua engine kama gharama za repairs tu za kubadili na kupaka rangi ferry.

Vinginevyo hizo gharama zinakaribikiana na, za kuunda chombo kipya ambapo kuna gharama za ku design, kuagiza chuma, kukata, kuunda (kuchomea), polishing, rangi, viti, wiring and so forth which adds up to so many labour hours costs.

Isitoshe hizo engine zenyewe zina lifespan ya miaka 30 kama wanabadili zote nne ina maana ivyo vivuko havina scheduled maintenance hadi zote kuwa chali.

Kwa kifupi ni overpriced maintenance given direct components na admin costs required on just doing repairs.

Soma link niliyoweka kwenye post uliyo quote uone direct materials za kuunda hiko chombo, tafuta hiyo contract ya matengenezo uone nini kinafanyika on repairs eitherway the price quote is not justified even with educational guess on the costs.
 
Walimuita magufuli mshamba kwa kuwabana upigaji hela ya umma. Sasa tuko kwenye awamu ya wajanja wenye ruksa kula kwa urefu wa kamba ya mbuzi.🤣😂
 
Chombo kikidepreciate kwenye vitabu hadi 0 sio sababu ya kukiuza. Kwanza jiulize kwa nini mwingine akinunue.
Ujanja wa kipigaji aina hii ndio ulipelekea vigogo serikalini kujiuzia nyumba za serikali kwa bei sawa na sifuri wakijidai hawaoni thamani ya ardhi zilipojengwa nyumba hizo.
 
Watanzania mmekomalia pesa ya ukarabati kwamba kuna upigaji ilhali hata hamjui hata kwenye manunuzi kulikuwa na upigaji kiasi gani.

Ombeni document za manunuzi ndio mtajua.
 
Muzeye unatisha kinyama.
 
Watanzania mmekomalia pesa ya ukarabati kwamba kuna upigaji ilhali hata hamjui hata kwenye manunuzi kulikuwa na upigaji kiasi gani.

Ombeni document za manunuzi ndio mtajua.
Documents vs uhalisia, ndo issue ilipo muzee.
 
Documents vs uhalisia, ndo issue ilipo muzee.
Tanzania utaambiwa kitu fulani kimenunuliwa bei fulani ila ushahidi haupo ndio maana hadi leo TRA wanapambana na kutaka watu wadai stakabadhi wafanyapo manunuzi.

Umeshakuwa utamaduni bei inashushwa watu wapate cha juu na hakuna stakabadhi halisia.
 
Bandari ya Bagamoyo itaiua ya Dar....Lakini........ nadhani ni kelele hazina maana
 
Kabla ya hapo ukiwahi kuambiwa tatizo ni Nini kwenye hicho kivuko?
Utajuaje kama engine zikikarababtiwa na kuzirudhiia hizohizo na wakasema wameweka mpya?

Je body lilikua limeoza au ?
Maisha yataendelea ila siku mungu akinuna watauina moto wa sodoma
 
Hilo nalo mkalitazame!

Nani wa kulitazama sasa?

Fisi unamuachia bucha halafu unasema suala la nyama kupotea buchani akalitazame?

Upigaji upigaji kila kona
 

Na Katiba ya Nchi Imekataza Speculations?
 

Na Katiba ya Nchi Imekataza Speculations?
 

Na Katiba ya Nchi Imekataza Kufanya Speculations?
 

Na Katiba ya Nchi Imekataza Kufanya Speculations?
 
Kingenunuliwa tu kingine kuepusha maneno mengi na ujanja ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…