Ukarabati 7.5B, Magogoni twende Kwa Facts! Mnaobisha Njooni Mnijibu

Uliona wapi USA wakampa bandari mwarabu kuiendesha, acha story za Buza.
 
Ndugu wanajamii ninaomba serikali ifuatilie kwa karibu ukarabati wa kivuko cha magogoni, tuliambiwa miezi mitano sasa unakwenda mwezi wa 8 kuna shida gani? Kigamboni ina watu wengi sana na wanateseka na usafiri, asubuhi hii kivuko ni kimoja tu! Uchumi wa nchi unazidi kuadhirika kwa kiasi kikubwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…