Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Ukaribu unaua hisia kweli kabisa.

Nadhani imewahi kukutokea hali unampenda mkaka/mdada licha ya kuwa hamfahamiani. Unajikuta unatamani kumwambia ni jinsi gani unavyompenda.

Ila baada ya wewe kuonana naye. Hisia zako kwake zinaanza kupungua kabisa na unajikuta unampotezea au mnabaki kuwa marafiki tu.

Hii inaonesha kuwa ukaribu unaua hisia ndiyo maana huwezi kumpenda kaka yako/dada yako kwasababu mmeshazoeana mnaheshimiana.

Ila unapokuwa mbali vile vichat vilivyoshamiri message za kuchombeza hunogesha penzi.

Hivyo unapo mpenda mdada/mkaka ni heri umwambie mapema kabla hamjajenga ukaribu na kuzoeana sana anaweza kupoteza hisia zake kwako na kukuona kama rafiki yako.
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka, wahenga hawakukosea. Utakuwaje na hisia kwa kusikia sauti kwa njia ya simu au msg.
 
Distance killing me gad'em softly...[emoji25][emoji25]
 
Back
Top Bottom