Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

Mapenzi unayozungumzia wewe ni yale mapenzi ya online bado hamjaonana mna fall in love baada ya kuonana mnajikuta vigezo na masharti flan vimepungua,

Lakini mapenzi ya mbali kwa mtu mnayependana na kuzoeana ni shida sana tena mateso makubwa acha tu.
 
Aah! Long distance relationship n stress tupu... Sema Hilo la ukaribu unaua hisia wakat mwingine n kweli kabsa
 
Back
Top Bottom