Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Pole sanaMkuu acha tu. Natamanigi sana kuandika thread kuhusu love life yangu, ila naishiaga kufuta kutokana na hisia ninazopata. Mwanaume kama huna hela kazi ya kumlinda mpenzi wako muachie Mungu. Alaf kama upo mbali nae, acha kujifanya unapiga piga simu kila muda, maana unamsumbua mpenzi wa watu.
Qmamake mapenzi sometimes ni nyoko.