Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

Hivi huwa ni nini ? Mi hiyo nilishaisikia sana nikiuliza majibu huwa ni hayo
Huwa nahisi kuna mtu ambaye ni very important kuliko wewe ambaye lazma apewe instant response. Kwangu huwa naona ni utovu mkubwa wa nidhamu nakataga simu hapo hapo.
 
[emoji23][emoji23] love is bad addiction alafu apo hutaki kuelewa mwahowe akipokea sim bado anakuwa mkali kama simba
Anakutolea povu kinoma, maana we ni kero kwake 😂😂😂!!!

Dah, unajikuta kwa hasira unamporomoshea sms tu kuwa hapo ndio umelala na simu iko active, anaeza singizia hata ndugu yake anaitumia ilimradi tu na ukikaza kichwa coz unajua ni uongo anakuzima na povu hadi unajiona kama mdudu flani 😂😂😂!

Wanawake wa kibongo ni shida!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Huwa nahisi kuna mtu ambaye ni very important kuliko wewe ambaye lazma apewe instant response. Kwangu huwa naona ni utovu mkubwa wa nidhamu nakataga simu hapo hapo.
Inaumiza sana we unatuma text au kupiga hujibiwi on time lakini kuna muhun akituma tu inajibiwa tena kwa furaha kubwa.
Anakutolea povu kinoma, maana we ni kero kwake [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Dah, unajikuta kwa hasira unamporomoshea sms tu kuwa hapo ndio umelala na simu iko active, anaeza singizia hata ndugu yake anaitumia ilimradi tu na ukikaza kichwa coz unajua ni uongo anakuzima na povu hadi unajiona kama mdudu flani [emoji23][emoji23][emoji23]!

Wanawake wa kibongo ni shida!
Nikikumbuka huwa najicheka sana [emoji23][emoji38] magazeti nishayaandika sana nikidhani mtu atabadilika lakini wapi baadae nikaona ni upuuzi liwalo na liwe haikupita wiki nikaanza kutafutwa mimi kwa hasira nikatia block wakaanza kunitafuta marafiki zake. Marafiki wanaharibu sana mahusiano ya watu(competition kwa wanawake ipo sana kutambiana na hapa kama huna hela kila rangi utaiona). Utasikia mbona wa fulani kafanya hivi, vile aisee moyo umepitia mengi mno

Ndiyo nimewahi..ila kama sijisikii kuongea na mtu anafosi tuongee

Na anaeshika usukani kuamua yawepo au yasiwepo mara nyingi huwa ni nyie ila mnafanya vibaya sana.
 
Inaumiza sana we unatuma text au kupiga hujibiwi on time lakini kuna muhun akituma tu inajibiwa tena kwa furaha kubwa.

Nikikumbuka huwa najicheka sana [emoji23][emoji38] magazeti nishayaandika sana nikidhani mtu atabadilika lakini wapi baadae nikaona ni upuuzi liwalo na liwe haikupita wiki nikaanza kutafutwa mimi kwa hasira nikatia block wakaanza kunitafuta marafiki zake. Marafiki wanaharibu sana mahusiano ya watu(competition kwa wanawake ipo sana kutambiana na hapa kama huna hela kila rangi utaiona). Utasikia mbona wa fulani kafanya hivi, vile aisee moyo umepitia mengi mno

Na anaeshika usukani kuamua yawepo au yasiwepo mara nyingi huwa ni nyie ila mnafanya vibaya sana.
Broz, yani hayo yote nimepitia kwa uchungu sana. Hadi nikaamua kuwa na attitude ya kibaharia.

Sahizi naweza nikachuna full day long simpigii manzi simu. IDC at all bro! Akijiskia kunitafuta atanitafuta najitahidi kuwa busy na mambo yangu tu. Ile hali ya kujiliza liza kwa wanawake nimeiacha sijui ndo kuwa sugu au kukua ila najua kila mtu anawajibu wa kumtafuta mwenzie.

Kama mtu ataamka asubuhi apige mswaki bila kukosa sidhani kama kuna ugumu wa kupiga au kutuma good morning text kwa mtu unayemthamini. Nakupigia leo na kesho then keshokutwa nauchuna. Wanawake can be crazy. Hamna kitu nakithamini kama mawasiliano maana moyo wa mapenzi uko hapo kila mtu lazima awe active.
 
Inaumiza sana we unatuma text au kupiga hujibiwi on time lakini kuna muhun akituma tu inajibiwa tena kwa furaha kubwa.

Nikikumbuka huwa najicheka sana [emoji23][emoji38] magazeti nishayaandika sana nikidhani mtu atabadilika lakini wapi baadae nikaona ni upuuzi liwalo na liwe haikupita wiki nikaanza kutafutwa mimi kwa hasira nikatia block wakaanza kunitafuta marafiki zake. Marafiki wanaharibu sana mahusiano ya watu(competition kwa wanawake ipo sana kutambiana na hapa kama huna hela kila rangi utaiona). Utasikia mbona wa fulani kafanya hivi, vile aisee moyo umepitia mengi mno

Na anaeshika usukani kuamua yawepo au yasiwepo mara nyingi huwa ni nyie ila mnafanya vibaya sana.
Unyonge huwa unazidi ukiwa huna hela mkuu, yani dah! At times hela ikiwa ngumu mahusiano nayo yanakuwaga magumu.

Kuwa compared na wapenzi wa watu wengine hasa marafiki zake inauma sana hasa ukiwa kwenye disadvantage. Wanawake wanazingua sana hasa wenye mashosti wanakuaga na akili za kukopa sana thats why i like independent women more
 
Nzuri kwa wapenzi msio waaminifu with less supervision [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Hao ndio watakaofurahia hapa ila sie wenye roho za kifilipino kwetu ni maumivu yasioelezeka.

Una roho ya kiphilipino mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] long distance nitamu ujue hukutu mnagombana ovyo eti.
 
Unyonge huwa unazidi ukiwa huna hela mkuu, yani dah! At times hela ikiwa ngumu mahusiano nayo yanakuwaga magumu.

Kuwa compared na wapenzi wa watu wengine hasa marafiki zake inauma sana hasa ukiwa kwenye disadvantage. Wanawake wanazingua sana hasa wenye mashosti wanakuaga na akili za kukopa sana thats why i like independent women more

Ukishaona mkizinguana kidogo marafiki wanahisika sana basi jua hao ndio wanaojenga au kubomoa mahusiano yako. Sometimes unaweza kosea kidogo lakini kwa influence ya marafiki ukaonekana hufai tena umekosa pakubwa mno ndio maana me sipendi kabisa kuwa na ukaribu na marafiki wa mpenzi wangu watanichora tu maana hao huwa wanajua kila kinachoendelea kwa rafiki yao japo sio wote.
 
Hahahah kama jamaa akiena mkoa tu mtu anauza utu kizembe tu....Hilo la mtu kuwa nje ndio balaa zaidi.😎😎😎 Kama uaminifu ni mgumu hapa nchini huwezi sema ulaya itawezekana.
Hujaelewa mantiki ya huo msemo, Yani ni kwamba mwanaume akiwa nje wengi tunaamini huwa wako mambo safi ndo maana uaminifu unawezekana ila akiwa dar to kigoma lazima utasalitiwa tu kwa kisingizio cha umbali
 
Una roho ya kiphilipino mkubwa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
long distance nitamu ujue hukutu mnagombana ovyo eti.
Ni nzuri kukwepa maneno ila unajua long distance huchangia 80% ya mahusiano kufa. Kuna msemo flani ambao huwa una reflect ukweli..."Kadri Umbali machoni unavyoongezeka na umbali moyoni unaongezeka"

Key ni mawasiliano mazuri ila kama pia hapo patakuwa panasua sua ujue mambo yataharibika soon. Kiuhalisia sio kwamba mpenzi wako hashiki simu ila tu priority inakuwa sio wewe maana ukipeleleza utagundua kuna mtu ametumia good morning texts. Kuna kipindi nili track simu nikawa naona mume mwenzangu akitumiwa picha na kupigiwa simu lunch, usiku tena mida ya saa 3 hapo.

Ikifika saa 4 mie napigiwa simu brief ya kuagwa kuwa amechoka anataka kupumzika. Aisee mapenzi ya kibongo kumanyoko.Ila nashukuru the pains taught me to be tough!
 
Hujaelewa mantiki ya huo msemo, Yani ni kwamba mwanaume akiwa nje wengi tunaamini huwa wako mambo safi ndo maana uaminifu unawezekana ila akiwa dar to kigoma lazima utasalitiwa tu kwa kisingizio cha umbali
Mambo safi kwamba Ulaya wanawake hamna, ni fikra potofu tu tena kule wanajiuza kabisa official na wanalipa kodi.
 
Ni nzuri kukwepa maneno ila unajua long distance huchangia 80% ya mahusiano kufa. Kuna msemo flani ambao huwa una reflect ukweli..."Kadri Umbali machoni unavyoongezeka na umbali moyoni unaongezeka"

Key ni mawasiliano mazuri ila kama pia hapo patakuwa panasua sua ujue mambo yataharibika soon. Kiuhalisia sio kwamba mpenzi wako hashiki simu ila tu priority inakuwa sio wewe maana ukipeleleza utagundua kuna mtu ametumia good morning texts. Kuna kipindi nili track simu nikawa naona mume mwenzangu akitumiwa picha na kupigiwa simu lunch, usiku tena mida ya saa 3 hapo.

Ikifika saa 4 mie napigiwa simu brief ya kuagwa kuwa amechoka anataka kupumzika. Aisee mapenzi ya kibongo kumanyoko.Ila nashukuru the pains taught me to be tough!
We mzee ulidukua kabisa akili kama zangu hizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwahiyo uliamuann baada ya kuona teyari umesalitiwa?
 
Mambo safi kwamba Ulaya wanawake hamna, ni fikra potofu tu tena kule wanajiuza kabisa official na wanalipa kodi.
Ndo hivyo uaminifu tunauweza kwa wenzenu walioko huko lakini humu humu ni kusalitiwa mpaka ukome
 
Back
Top Bottom