Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,143
- 1,399
Huyu jamaa atakuwa hajawah kuwa na long distance relationship, yaani huwa ni pasua kichwa.hivi we unajua stress za long distance relationship wewe[emoji853]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa atakuwa hajawah kuwa na long distance relationship, yaani huwa ni pasua kichwa.hivi we unajua stress za long distance relationship wewe[emoji853]
Funguka utakuta wenzio wamekamatia ukichelewa, au nawewe hisia zinaisha ukionana nae🤣🤣🤣🤣🤣Mi Kuna mkaka nampenda hla namuogopa[emoji3526]
😂😂😂kwa kweliNi kiherehere cha moyo lakini wengi wakiambiwa huwa hawaamini mpaka wayashuhudie but sometimes yana raha yake.
amerudi ila yuko busy na kampeni 😢😢Kwan hajarud tuu toka dodoma
Mwambie tu, kumpenda mtu hakuvunji katiba ya jamuhuri...hutafungwa bali utajiweka huru!Mi Kuna mkaka nampenda hla namuogopa[emoji3526]
Iko Deep sana hii nimecheka mkuu! Umeongea kwa hisia af nikiwaza pia niko mbali na mtu wangu for weeks.Mapenzi ya mbali ni ya kisenge sana.
Hahahah kama jamaa akiena mkoa tu mtu anauza utu kizembe tu....Hilo la mtu kuwa nje ndio balaa zaidi.😎😎😎 Kama uaminifu ni mgumu hapa nchini huwezi sema ulaya itawezekana.Mapenzi ya mbali yanawezekana tu endapo mwanaume yuko ulaya au marekani sio humu humu nchini😂😂😂, hii nimeisoma sehemu
Mkuu acha tu. Natamanigi sana kuandika thread kuhusu love life yangu, ila naishiaga kufuta kutokana na hisia ninazopata. Mwanaume kama huna hela kazi ya kumlinda mpenzi wako muachie Mungu. Alaf kama upo mbali nae, acha kujifanya unapiga piga simu kila muda, maana unamsumbua mpenzi wa watu.Iko Deep sana hii nimecheka mkuu! Umeongea kwa hisia af nikiwaza pia niko mbali na mtu wangu for weeks.
Hahahah hajui huyo, ila usimwambie kitu mwache ajionee mwenyewehivi we unajua stress za long distance relationship wewe[emoji853]
Ushawahi ongea na demu halafu ukasikia anafanya clicks kwenye simu design kama anachati na mtu halafu sauti inapotea na kurudi? Ile umeuliza vipi mbona hivyo unaambiwa nagonga tu simu na kucha baby, we unakazi ya kunihisi vibaya tu 😂😂😂Mkuu acha tu. Natamanigi sana kuandika thread kuhusu love life yangu, ila naishiaga kufuta kutokana na hisia ninazopata. Mwanaume kama huna hela kazi ya kumlinda mpenzi wako muachie Mungu. Alaf kama upo mbali nae, acha kujifanya unapiga piga simu kila muda, maana unamsumbua mpenzi wa watu.
Qmamake mapenzi sometimes ni nyoko.
Nzuri kwa wapenzi msio waaminifu with less supervision 😂😂😂!!!Long distance bhana unacheat na mwenzako hajui na ndio maana watu wanadumu kwenye hii Long distance.
Niambie tu.Mi Kuna mkaka nampenda hla namuogopa[emoji3526]
Huo ndio ukweli.Yaaaaani Mpenzi wa mbalii,hiyo inawezekana kwa wasio na hisia ktk mapenzi yao
Kuna mwanamke alikuwa ananifanyia hivyo, mapenzi ya kibongo bana. Nikawa nampigia after 10 mins unakuta namba iko busy, ile feeling dah! My first heartbreak was severe 🤕Acha kabisa imagine mpenz wako anakuaminisha anaumwa kalala usimtafute au simu inazima chaji ukimkosa hewani ujue sababu ni hiyo kumbe yupo na mpenz wake [emoji23]
Ushawahi ongea na demu halafu ukasikia anafanya clicks kwenye simu design kama anachati na mtu halafu sauti inapotea na kurudi? Ile umeuliza vipi mbona hivyo unaambiwa nagonga tu simu na kucha baby, we unakazi ya kunihisi vibaya tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajiuliza hivi mtu anawezaje kugonga simu na kucha wakati tunaongea?
Kuna mwanamke alikuwa ananifanyia hivyo, mapenzi ya kibongo bana. Nikawa nampigia after 10 mins unakuta namba iko busy, ile feeling dah! My first heartbreak was severe [emoji856]