Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

Kale kadem kalikuwa kananijua vzr sana kwamba huwa sikurupuki ktk maamuzi. Ilibidi kawahi kuniambia "Nina mimba lakini sio yako, naomba unisamehe"

Nikakaambia huitaji kulia, maana sijakuoa, so endelea na life lako.
Kmmmk hio ni zaidi ya pigo!
 
Kitu sikuwahi fanya ni kufuatilia mawasiliano mpaka ifikie hatua ya kuhack. Kuna jamaa yangu alihack sim ya mpenz wake kilichofuatia alikua anashinda tu ndani mambo hayaendi kutwa kucha anafatilia mawasiliano na mbaya zaidi 75% alikuwa anasemwa yeye vibaya na kuhudumia alikua anahudumia sana.
Nyokow, hio inaitaji ujasiri wa kijeshi ni kama kujichomoa risasi mwilini kwa kujichana na kisu!
 
Kweli ulinyanyasika kihisia mkuu!
Kuna kadem kalinizinguaga kipindi fulani, alaf mambo yalivyokaendea kombo, kakaja kuniomba msamaha kanasema "Nisamehe, kwa jinsi ambavyo nilikuwa nikikusea unachukulia kawaida, nikahisi wanaume hamuumii"

Nilikaangaliaa wee, nikaishia kuondoka tu.
 
Ungekapiga mkojo wa dharau 😎 kisha ukaendelea na mishe zako!
 
Utasex kwa Bluetooth, na kukis kwa whatsapp, wenzio wanakula live, hopeless kabisa
 
Kale kadem kalikuwa kananijua vzr sana kwamba huwa sikurupuki ktk maamuzi. Ilibidi kawahi kuniambia "Nina mimba lakini sio yako, naomba unisamehe"

Nikakaambia huitaji kulia, maana sijakuoa, so endelea na life lako.

Alijilipua kweli kweli
 
Back
Top Bottom