Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..