Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp wewe usha fika ata marekani au una waonea instagram [emoji382]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea bado una kunywa uji wa mcheleAlianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Huu uzi ndo nitajua nani ana akili na nani ni poyoyo
ukiachana na issue ya mauzo aliyopata hadi recognition as first Africa artist kufika hapo.. upande mwingine nyimbo iko hv, utasemaje imebuma?Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Msanii kutoka Africa 'aliyenusa' tobo la Marekani ni Burnaboy, tena bila collabo.
Hawa wengine ujinga mtupu. Tena ukiona msanii wa US anafanya collabo na msanii wa Afrika ujue ni kama CHARITY tu ( Namna ya kurudisha kwa jamii ).
Maana hakuna faida yoyote atapata kufanya kazi na wewe, ndio maana Rick Ross kwenye wimbo wa Waka Waka kaimba mashairi ya kupromote pombe zake tu, kitu ambacho ni tofauti na maudhui ya wimbo
Usishangae wewe ni MwanaumeAlianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Usishangae wewe ni Mwanaume
Hana lolote zaidi ya kujipendekeza mwisho apate corona huko ishiiiiiAlianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Team Kiba [emoji23]Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369