barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
We jamaa ni shabiki wa taarab bila shaka tena zile za mauno za mzee yusufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mambo ya kivulana sio kike!Hawezi kuwa mwanaume huyo atakuwa wa "kiume" afu ana mambo ya "kike"
Ulitaka usifiwe?Hivi unamchukuliaje rozay ww?
alafu wabongo bwana...yan hata ufanye lipi watakuponda...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Mulaga, si umesema unaenda kupumzisha bichwa lako? Kulikoni tena huku na fake news zako?Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Huna unalojua.Msanii kutoka Africa 'aliyenusa' tobo la Marekani ni Burnaboy, tena bila collabo.
Hawa wengine ujinga mtupu. Tena ukiona msanii wa US anafanya collabo na msanii wa Afrika ujue ni kama CHARITY tu ( Namna ya kurudisha kwa jamii ).
Maana hakuna faida yoyote atapata kufanya kazi na wewe, ndio maana Rick Ross kwenye wimbo wa Waka Waka kaimba mashairi ya kupromote pombe zake tu, kitu ambacho ni tofauti na maudhui ya wimbo
Alicia hajachuja but lets keep it real hao wengne walobak wamechuja...na hata kukutana na Alicia ni bahat tu itakuwa mchongo wa swizz au amemkuta studio kimazabe....ila miaka 10000 Alicia hawez fanya collabo na mbana pua....naweka mke wangu, tigo yangu na shingo yangu.du, watoto wa juzi bhana utawalaumu bure tu, et alicia keys kachuja! thats fun
ndo nani mkuu ???? [emoji23][emoji23][emoji23]Usimchukulie poa swizbeat
Wewe takataka akili huna.Huna unalojua.
Kwa taarifa yako nyimbo nyingi za Rick Rose huwa anazungumzia starehe, maisha ya ghetto (uhuni) na kadhalika so kupromote pombe kwenye ngoma ya Mondi haishangazi.
Ulitaka aimbe kuomba barabara kwa Rais!!?? Wenzetu huko walishatoka kitambo, mziki kwao ni starehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo na chid
Mkuu muombe radhi Alicia halafu kwa info Swizbeat is a producer same as kina Timberland and Dr. Dre ambao kwa sasa ni producers, sijasema wanafanana level ukumbuke hilo but nin producer hata kama hawafanani, na isitoshe kuchuja Swizbeat hakumaanishi Mond naye atachuja, hao ni music legends mkuu hivyo wape heshima yao na tumpongeze kijana wetu, majungu pembeni.Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Kwa maelezo yako hapo inaonesha wazi kbs humjui Swizz beats na wala humjui Alicia Keys, achilia mbali Diomond platnumnz, siyo kila kitu lazima u comment, sisi wengine mbona tukikuta mada hatuzijui tunakaa kimya na kujifunza?Alicia hajachuja but lets keep it real hao wengne walobak wamechuja...na hata kukutana na Alicia ni bahat tu itakuwa mchongo wa swizz au amemkuta studio kimazabe....ila miaka 10000 Alicia hawez fanya collabo na mbana pua....naweka mke wangu, tigo yangu na shingo yangu.
Ni sawa uskie collabo ya Celine dion na meja kunta