Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Producer na mwimbaji mkubwa Sana wa music hapa duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Producer na mwimbaji mkubwa Sana wa music hapa duniani.
Ile nyimbo ni tangazo la belaireHuna unalojua.
Kwa taarifa yako nyimbo nyingi za Rick Rose huwa anazungumzia starehe, maisha ya ghetto (uhuni) na kadhalika so kupromote pombe kwenye ngoma ya Mondi haishangazi.
Ulitaka aimbe kuomba barabara kwa Rais!!?? Wenzetu huko walishatoka kitambo, mziki kwao ni starehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wew umewajulia kupitia hii post utashindana na mm nawajuatokea maunderground?Kwa maelezo yako hapo inaonesha wazi kbs humjui Swizz beats na wala humjui Alicia Keys, achilia mbali Diomond platnumnz, siyo kila kitu lazima u comment, sisi wengine mbona tukikuta mada hatuzijui tunakaa kimya na kujifunza?
Eti wamekutana studio kimazabe SMH.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rozay habari yake ilishakisha. Actually ni zilipendwa.Hivi unamchukuliaje rozay ww?
alafu wabongo bwana...yan hata ufanye lipi watakuponda...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitakupata kitu mkuu unaweka nini?Alicia hajachuja but lets keep it real hao wengne walobak wamechuja...na hata kukutana na Alicia ni bahat tu itakuwa mchongo wa swizz au amemkuta studio kimazabe....ila miaka 10000 Alicia hawez fanya collabo na mbana pua....naweka mke wangu, tigo yangu na shingo yangu.
Ni sawa uskie collabo ya Celine dion na meja kunta