Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Watu wengine bana sijui wakojeAlianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa...
Hivi unafatilia mziki kweli?? Unajua uzito wa Swiz na Alicia. ???Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Watu wengine bana sijui wakoje
Badala ya kukaa na kuwaza ni jinsi gani maisha haya watatoboa wao kazi yao ni kukaa na kuwaza maisha ya watu wengine wanafikiri kufeli kwao kuna tija ktk maisha yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine bana sijui wakoje
Badala ya kukaa na kuwaza ni jinsi gani maisha haya watatoboa wao kazi yao ni kukaa na kuwaza maisha ya watu wengine wanafikiri kufeli kwao kuna tija ktk maisha yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ndo nitajua nani ana akili na nani ni poyoyoHivi unafatilia mziki kweli?? Unajua uzito wa Swiz na Alicia. ???
nguvu ya anonymous [emoji185]
Poor people are always so insecure.Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369
Hiyo nyimbo na NEYO ina viewer wangapi youtube?na unajua wanavyolipa? acha ujinga hebu fanya kazi hata upate mud wa kupiga picha na Amberruty.Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na Pdidy,beyonce ambao hata setikali ikiwaomba msaada wa vitabu vya sayansi kimu wanatoa bila masharti..View attachment 1372369