Ukaribu wa Diamond na Wasanii wa Marekani waliochuja una tija yoyote kweli kwa Taifa?

Ile nyimbo ni tangazo la belaire
 
Sasa wew umewajulia kupitia hii post utashindana na mm nawajuatokea maunderground?
 
NyuZi za kipuuzi kma hizi kwanini mode mnaziachia mtu hana hata data kamili za watu nae anaachiwa tu kufungua uzi shame on u moderator
 
Kitakupata kitu mkuu unaweka nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia huu uzi nimegundua uwezo wa wabongo wengi kung'amua mambo ni mdogo sana,waliopitia mafunzo ya intelijensia watanielewa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…