Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Really u not serious,this s very sad kwa Kweli ni mambo ya aibu Haya
 

- Hela zangu zilizokuwa zinakatwa kwenye kodi ni nyingi sana kwa miaka 25 kumbuka nilikuwa ninalipwa mshahara mkubwa sana kuliko wabongo wengi kule kwa sababu nilikuwa ninafanya kazi super sana mimi mwenyewe pensheni yangu ni kubwa sana nitakapoanza kupata kwa hiyo upo mbali sana na ukweli, Aibu ni kama ningekuwa sina maisha hapa bongo lakini si unajua kwamba I have life hapa hahahahahahaha kumbe wengi mna maumivu na maisha yangu hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Haya ni family business hapa sio sehemu yake ni mambo ya aibu mbele za watu kwa kweli

- Dr. Salim alijifunza kwenye kampeni ya mwaka 2005 kwamba uongo usipojibiwa haraka sana kwa wakati unaotakiwa unageuka kuwa ukweli ndio maana ukisingizia uongo nitakujibu tu hata uwe nani si unaona nikjibu maneno yenu yanavyoelea hewani hahahahaha tulia sasa kama unayolewa ok hahahaha

Le Mutuz
 
Really u not serious,this s very sad kwa Kweli ni mambo ya aibu Haya

- Well cha aibu hapa ni nini hasa so far hamna aibu hapa, mpaka nikiamua kumvua nguo ndio itakuwa aibu so far ninajibu uzushi tu against me kama ni dhambi na iwe on me ila nitajibu tu uzushi anytime!!

Le Mutuz
 
Wewe mtu mzima u not teenager mzee,acha mambo ya kike babu.grow some balls
 
Mkuu lala sasa ushafanya kazi mchana kutwa au ndo unafata wabebez mwenzio riz yuko na wife analea wanae wewe unaenda kulea pros wa mikocheni. Aibu kubwa sana hii le mutuz akili kubwa iko wapi sasa ?????

- Riz haishi Mikochen kuwa na mke na watoto sio lazima na wala sio anything in life so tafuta lingine hahahahahaha ningekwua nahitaji kushi na mke na watoto ningekuwa nao nimeamua sitaki na I am fine unataka nikutajie watu wengi wenye heshima zao hapa mjini na hawana wake na watoto? unasema wote ni wajinga? hahaha so urafiki wangu na Riz kumeb unawauma sana maana topic nzima imegeuka Riz hahahahahaha mtajibeba snaa mwaka huu hahaha

Le Mutuz
 
Wewe mtu mzima u not teenager mzee,acha mambo ya kike babu.grow up some balls

- Siku ukinilipia kodi na ukanilipia maisha yangu hapa mjini then njoo unipe huu ushauri hahahahaha ninapojibu nipo ofisini kwangu for mtoto mdogo hapa ofisini kwangu majirani wangu wote ni wanasheria sijaona mtoto mdogo hahahahahaha

Le Mutuz
 
At least unajua wewe ni babu,asante sana
 

- Nonesense nimeishi miaka 30 nje ya nchi nilikuwa najilipia mwenyewe maisha yangu, nimerudi nimemuomba baba yangu nyumba kwa muda sasa hivi ninaishi kwangu ninajilipia mwenyewe maisha yangu huu ulioandika ni ujinga at best, pole sana you wish pole sana hahahahahahahha

Le Mutuz
 
hahaaaa.mkuuu msameheee sasa alale mana yupo hoi vidole vimeota sugu mwache apumzike

- What is that wewe hujaona Rais wa USA anafanyiwa hivi it is just fun google Meya wa New York kila mwaka mara moja anafanya Comedy ya kuvaa hivi na kupiga picha kwani cha ajabu na hizo picha ni nini? hahahahaha wewe for sure ni mjinga wa akili hahahahahaha

Le Mutuz
 
Babu zima linaishi kwa ukuwadi,hiko kiofisi chako hapo tancort unajaza visichana na kupiga navyo picha kama dangulo.

- hahahaha na hawa waheshimiwa wanaokuja hapa hukuwaona hahahahahahaha kumbe una makengeza pole sana eti wewe una ofisi hapa posta mpya kama mimi au? hahahahahahah

Le Mutuz
 
View attachment 246168View attachment 246171sasa hebu jamani fikirieni mtu mzima baba wa watoto wawili anavyozalilishwa hivi na watoto wadogo na bado anajiita akili kubwa na degree tatu haha

- hahahaha wananiongezea umaarufu tu wa kupiga pesa hapa mjini, wewe nakuonea huruma sana maana sio siri maisha huko majuu yameshakuwa magumu ndio maana unakuja kulia lia hapa ila uliyataka mwenyewe sio mimi pole sana nakuonea huruma sana!!, Ila I hope kina mama wengine kama wewe watajifunza hizi picha zimeanza miaka mingi toka nilipoanza hapa JF hazijabadilisha anything in my life zaidi ya kuniongezea umaarufu infact I love them hahahaha

- Vipi ulichoka kumpelekea ujinga wako anayejiitaa mrekebisha tabia maana najua ulikuwa unamtumia sana kunitukana Isntagram haikusaidia umekuja mwenyewe saafi sana ulidhani unaweza kunichafua maisha unaona sasa kwenye ukweli unavyojitenga uzushi wako hahahaha

Le Mutuz

Le Mutuz

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…