Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kama ugomvi chanzo ni mchango wa harusi namuunga mkono Le Mutuz.. Mimi nishazinguana na washikaji kibao kisa michango ya harusi, unakuta mtu anakupangia mpaka kiasi cha kutoa ooh elfu 80 haitoshi wewe ni mwanangu nichangie kilo 2 wakati mara ya mwisho kuwasiliana ni graduation ya form 4 kaanza kukutafuta akichange cha harusi.
ishanikuta hii last week
mtu katutafuta hadi facebook!
mi uzuri sipo facebook ila akapewa no yangu
kumbe anatangaza ndoa bwana!
wabongo bwana sijui tukoje