Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu ukimchangisha akikataa au kujikausha ni heri maana hatakusumbua kwenye shughuli yake. Tujifunze kufanya sherehe ndogo kwa uwezo wetu
L e mutuz achana na wajinga hao, wewe kamaa na kibajaji mpaka mumung`oe na matusi yake
Kama ugomvi chanzo ni mchango wa harusi namuunga mkono Le Mutuz.. Mimi nishazinguana na washikaji kibao kisa michango ya harusi, unakuta mtu anakupangia mpaka kiasi cha kutoa ooh elfu 80 haitoshi wewe ni mwanangu nichangie kilo 2 wakati mara ya mwisho kuwasiliana ni graduation ya form 4 kaanza kukutafuta akichange cha harusi.
Huwa nnamashaka na akili za lemutuz,jamaa nahic anaumwa
Kwa kukataa kuchangia?
nimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee ila sio kuingiza masuala ya wayunani ambao context yake alikuwa analenga kuwa desturi za kikristo ndizo zinamfanya lemutuz amtukane yeye kwasababu ni muislam. hawa bongo muvie ni washamba sana na wengi ni kachumbari tu.
Hunte & emkey mmesomekanimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee sio kuingiza masuala ya wayunani
NAWE PIA JINI MAHABA.
nimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee ila sio kuingiza masuala ya wayunani ambao context yake alikuwa analenga kuwa desturi za kikristo ndizo zinamfanya lemutuz amtukane yeye kwasababu ni muislam. hawa bongo muvie ni washamba sana na wengi ni kachumbari tu.
Been there?
Just curious.