Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Kwani alimtaja jina baadae nakumbuka alisema marafiki sijui rafiki. Ameshtukiaje? Angekaa kimya tu labda kama akimtaja baadae.
 
L e mutuz achana na wajinga hao, wewe kamaa na kibajaji mpaka mumung`oe na matusi yake
 
Kama ugomvi chanzo ni mchango wa harusi namuunga mkono Le Mutuz.. Mimi nishazinguana na washikaji kibao kisa michango ya harusi, unakuta mtu anakupangia mpaka kiasi cha kutoa ooh elfu 80 haitoshi wewe ni mwanangu nichangie kilo 2 wakati mara ya mwisho kuwasiliana ni graduation ya form 4 kaanza kukutafuta akichange cha harusi.

Hahaha nimecheka sana. Ndo wabongo walivyo hii kuchangiana imekua kama lazima sikuhiz na usipochanga unaonekana mbaya
 
le mutuz njoo huku naona wadau wanakupa credit za kutosha
 
Huwa nnamashaka na akili za lemutuz,jamaa nahic anaumwa
 
nimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee ila sio kuingiza masuala ya wayunani ambao context yake alikuwa analenga kuwa desturi za kikristo ndizo zinamfanya lemutuz amtukane yeye kwasababu ni muislam. hawa bongo muvie ni washamba sana na wengi ni kachumbari tu.

nimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee sio kuingiza masuala ya wayunani
NAWE PIA JINI MAHABA.
Hunte & emkey mmesomeka
 
Last edited by a moderator:
Le mutuz @ NYC:msela:
Le mutuz@ KARIAKOO:boxing: :sad::A S-rap::director:NHC
 
nimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee ila sio kuingiza masuala ya wayunani ambao context yake alikuwa analenga kuwa desturi za kikristo ndizo zinamfanya lemutuz amtukane yeye kwasababu ni muislam. hawa bongo muvie ni washamba sana na wengi ni kachumbari tu.

Sio utani mkuu, kwanini atumie uyunani kutukana mtu? amtukane yeye lemutuz kama lemutuz sio achanganye na udini, afute hiyo kauli mara moja..!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom