Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.

- Kati ya wajinga ni;liowahi kuwaona duniani hakuna nayekuzidi, wewe huwezi kuitwa kwenye national Tv kwa sababu huna akili ungekuwa nayo ungetumia jina lako kamili kama mimi so wananiita mimi akili kubwa kukuwakilisha akili ndogo maana ujasiiri wa kuingia hapa kwa jina lako huna, hahahahahahaha

- Unachojua ni matusi ya kizamani yalisha expire loong time ago, sisi tunatumia akili tunatengeneza pesa hapa mjini na matokeo yanaonekana tunawaachia wajinga kama wewe mtufuatilie maisha yetu na kwa sababu hamna maendeleo mnaishia kulia lia kujipendekeza kama ni rahisi jaribu na wewe hahahahaha le mburulazzzz

Le Mutuz
 

Natafuta hela yangu mwenyewe na najivunia kwa hilo huo muda wa kujipendekeza kwa matajiri sinaaaaa. Sasa wewe lopolopo uliezoea kujipendekeza kwa matajir unaona ni big deal hahahahaaaa... I feel sorry 4 u babu jinga. Le mburulaaaa.
WATAKUOA WANAUME WENZIO KWA KUPENDA VYA BUREE
KWANZA C BURE UTAKUA USHAFUMULIWA MARINDA WW MAANA UNAMAMBO YA KIKE KULIKO HATA WANAWAKE WENYEWE.
Na leo ntashinda nabishana na ww hapa maana niko off sasa ww unaejiita akili kubwa cjui huo unafk wako wa blog yako unaufanya saa ngapi hahahaaaa
Au unaskilizia upate mtu wa kukualika breakfast?? Humu hamna wa kukualika so chilax babu jingaa
 

Le mutuz mimo naona umepunic coz umri umeenda na maisha bado hujayapatia..umri kama wako wenzako wanakula matunda ya investment zao. Wewe ndiyo unawaza kufungua radio na TV Leo? Relax le mutuzzzz
 

- hahahaha huna life maana wenye life kama mimi hatupotezi muda kufuatilia maisha ya mtu I have life na huna, leo upo off umejiriwa mimi najiajiri nipo ofisini kwangu now hahahahaha pole sana ila mimi sio size yako tafuta wajinga wenzako mkuu hahahahaha mimi sio kabisa hahahaha endelea kunifuatilia my life cause huna life hahahahaha

Le Mutuz
 

Well mjinga na mjinga mwenzie wanabishana patamu hapooo.. maana ungekua akili kubwa ucngebishana na akili ndogo.
Nakuangalia kwa sababu ya upuuzi wako ww, kuna nn cha maana ulichofanya ww babu jingaa.
Ni ujinga wako ndo umenivutia maana nashangaa mbona hili ni libabuu lakin Collin wangu kalizidi akilii
 
Le mutuz mimo naona umepunic coz umri umeenda na maisha bado hujayapatia..umri kama wako wenzako wanakula matunda ya investment zao. Wewe ndiyo unawaza kufungua radio na TV Leo? Relax le mutuzzzz

- hahahahaha pole sana kumbe umepanic mimi nasonga mbele mkuu mambo yangu yapo sawa sana vipi yako yapo sawa maana huwezi kuwa sawa ukawa na muda wa kufuatilia maisha ya wengine tena kwa majina ya bandia hahahahahahaha

Le Mutuz
 





- Mkuu hapa ndio ofisini kwangu karibu sana ndio ofisi ya kampuni yangu pamoja na Blog, ipo Posta Mpya at Tancot House 2nd floor Sokoine Drive na Pamba Road, hapa ni businesss tu karibu sana hahahahahahahaha

Le Mutuz

 

Yani ww utabaki kua babu jinga tuu, nimeajiriwa ndio na nnakipato kizur cyo cha kuomba omba kwa matajir kama ww. Mburulaaa mwenye degree za matakoni I mean umezikalia badala ya kuzitumiaa
 

I second you.
 
Ulichukua mkopo wa sh ngapi le mutuz kufungua kampuni? Marejesho vipi unapeleka kwa wakati? Hahahaha

- Nilifungua Blog kwa investment ya USD $ 500 mwaka 2012 sasa ni a registered Company na ina wafanyakazi 5 na according to the Google Business Online analysis leo nikitaka kuiuza ni worthy at USD $ 300,000 mara ya mwisho Mama mmoja from South Africa alitaka kuinunua kwa USD $ 200,000 nikakataa nataka mpaka thamani yake itakapofikia USD $ 500,000 ndio nitafikiria kuiuza,

- Now sasa hivi nime invest kwenye Radio na TV, so soon nategemea kuachana na Blog ambayo sasa hivi ni a perfect system tayari yaani inaweza kujiendesha yenyewe na kuingiza faida, niliwahi kukopa Mwaka jana from the bank kwa ajili ya expansion na mitambo ya mawasiliano for my blog lakini nilisharudisha deni lote tayari sasa sidaiwi tena,

- So nipo sawa na sijawahi hata kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi wa kampuni yangu, ninamshukuru Mungu sana kwa yote haya na infact in the process nilifanikiwa kutengeza business at Instagram ambako nako nina pata pesa nzuri kutokana na matangazo ya biashara ambayo nina charge from Tsh. 100,000 per tangazo I mean ni ubunifu zaidi

Le Mutuz
 
Cwez kuajiriwa na bwabwa kama ww halaf acha kugeuza manenoo ww na degree zako za matakonii hahahaaa.

Degree fake zile ndiyo maana kakimbia marekani jamaa zetu wapo huko wanamjua vizuri huyu jamaa na deal zao walizokuwa wanafanya huko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…